Wana jf.
Nimeona uzi ukizungumzia Jamii Media kufungua kesi mahakamani juu ya sheria ya makosa ya kimtandao.. Kwa jinsi nilivyomsikiliza ndg MELO inaonekana sisi watumiaji ndio tutakaokuwa hatarini na wengine wataogopa kufichua maovu wakiogopa msumeno huu wa sheria unaowapa nguvu sana polisi.
Kwa maoni yangu napendekeza uongozu wa Jamii Media uweke namba za simu na acc za benki ili tuweze kuchangia uendeshwaji wa kesi hii ambayo zaidi inatuhusu sisi watumiaji.
Asanteni.