Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,657
- 38,337
Wewe ni kidagaa tu hapo ufipa!Wala hatutaki .
Mbowe akisema anaenda ikulu kumuona Samia huna la kupinga
Wewe ni kidagaa tu hapo ufipa!Wala hatutaki .
Rais Samia yupo madarakani sasa kwa miezi minne.
Katika muda wake huo madarakani, amekutana na makundi kadhaa sasa: vijana, wazee, maaskofu, akina mama, nk.
Sina hakika kama keshakutana na Waislamu wenzake. Nadhani bado hajakutana nao. I wonder why…maana tayari keshakutana na Wakristo!!
Miezi mitatu iliyopita Mheshimiwa Freeman Mbowe wakati akihutubia taifa alisema kuwa wamemwandikia barua mheshimiwa Rais na kuomba wakutane naye.
Mpaka sasa Bi. Mkubwa hajakutana nao. Sijui amepanga kukutana nao.
Na baada ya kukamatwa kwa Mbowe na hizo tuhuma za ugaidi tulizoambiwa, sijui kama huo mkutano wao utakuja kutokea!
Maana itakuwa ni maajabu Rais wa nchi kukutana na ‘gaidi’ na kufanya naye mazungumzo.
Bi. Mkubwa anaupiga mwingi huku kazi ikiendelea.
Naona kama wanafosiVurugu zipi zilizofanywa na Chadema? Mbona walikutana Dar na Moro na hawakufanya vurugu zozote? Mwanza wamefanya vurugu zipi!? 😳
Siasa ni mchezo wa kutegeana kama unavyocheza chess na mwanzo wa "mama" mpaka kuambiwa anupiga mwingi alikuwa desperate kuondoa taswira ya kwamba serikali ina kandamiza upinzani na haki za binadamu, Magufuli did not care kuhusu image atakayoongelewa internationally.
Ni lini baada ya 2020 CHADEMA na wanaojiita wanaharakati wa mtandaoni walikuwa na moto wa kudai katiba mpya ama, tume huru ya uchaguzi ? Walikuwa na agenda moja ambayo ni kuonyesha uchaguzi haukuwa huru na wa haki na madhila waliyopata Zanzibar ili serikali inyimwe misaada hiyo ndio ilikuwa agenda kuu mpaka wengine walipeleka faili the Hague sijui imeishia wapi.
Baada ya kifo cha Rais Magufuli hiyo agenda imeyeyuka, hakuna tunachokisikia...ili kwenda na upepo ndio tuakaambiwa katiba mpya kwa ghafla tena kwa kufoka ...hiyo ilikuwa kumtikisa Rais na njia waliyotumia walikuwa hawana cha kupoteza...sasa hivi awamu ya sita ilishapata doa kimataifa, hata ile "branding" itahitaji nguvu zaidi na CHADEMA wamerudi kwenye vyombo vya habari na midomoni mwa watu zaidi..
View attachment 1865069
Ila hay mambo sijui aruhusu tuVurugu gani?Mbona la Dar lilikwenda vizuri
Naona kama wanafosi
Wkt mwisho wa siku atayeamua ni Samia
Labda anaandaa Bajeti.,
Hizo zote zilikuwa ni strategies, hakuna move yoyote kwenye siasa inayofanywa ikiwa na nia moja (ya dhati)...nipo curious zaidi kuona mwisho wa haya madai ya katiba mpya, baada ya kilichotokea !Achana na mawazo wako POTOFU. Huwezi kumtega mtu kwa kumuandikia barua na kumkumbusha kuhusu barua yako, labda hujui maana halisi ya neno KUMTEGA.
Hizo zote zilikuwa ni strategies, hakuna move yoyote kwenye siasa inayofanywa ikiwa na nia moja (ya dhati)...nipo curious zaidi kuona mwisho wa haya madai ya katiba mpya, baada ya kilichotokea !
Rais Samia yupo madarakani sasa kwa miezi minne.
Katika muda wake huo madarakani, amekutana na makundi kadhaa sasa: vijana, wazee, maaskofu, akina mama, nk.
Sina hakika kama keshakutana na Waislamu wenzake. Nadhani bado hajakutana nao. I wonder why…maana tayari keshakutana na Wakristo!!
Miezi mitatu iliyopita Mheshimiwa Freeman Mbowe wakati akihutubia taifa alisema kuwa wamemwandikia barua mheshimiwa Rais na kuomba wakutane naye.
Mpaka sasa Bi. Mkubwa hajakutana nao. Sijui amepanga kukutana nao.
Na baada ya kukamatwa kwa Mbowe na hizo tuhuma za ugaidi tulizoambiwa, sijui kama huo mkutano wao utakuja kutokea!
Maana itakuwa ni maajabu Rais wa nchi kukutana na ‘gaidi’ na kufanya naye mazungumzo.
Bi. Mkubwa anaupiga mwingi huku kazi ikiendelea.
Kuna watu akili zao nimehamia makalioni mkuuYani Rais asiwe na ubavu ila kina Mdude wanao sio?.
Magufuli pia hakukutana na Mbowe, hakuto kuwa na ajabu hata kama mama SSH hato kutana nae. Ni siasa tuu.Samia hana ubavu wa kukutana na Mbowe tena, ameshapoteza muelekeo na hajui wapi ataanzia kujenga imani yake kwa wapinzani na wananchi kwa ujumla, ukiondoa wale waimba mapambio wa lumumba.
Waislamu wenzake.
Wakati gani? Wakati wa Magufuli ? hata maandamano yalifanyika vyumbani.Nguvu iliyokuwa inatumika ilikuwa sio kukemea kuvunjwa kwa sheria ila kudai katiba bila kusikiliza upande wa pili na lugha iliyokuwa inatumika ilikuwa "confrontational" , kwa nini nguvu hiyo na ubabe haukutumika wakati wa Magufuli ?
Kwa Magufuli sijui kama ingetokea, wapinzani walikwisha UFYATA.Huo ubabe aliokuwa nafanya Magufuli ndio matokeo ya hayo wanayo yagombaniwa ili yabadilishwe,by the way hata huyo Magufuli ubabe wake ungekuwa ni swala la muda lazima ufumbuzi ungepatikana tu.
Samia alizuia mikutano ya kisiasa kinyume cha katiba na haki za vyama vya siasa. Hilo ninkosa kubwa sana la kutoheshimu kiapo chake cha urais cha kuheshimu katiba
Hiyo ilikuwa ni strategy ya kumuweka Samia under pressure, na kwa namna yoyote walijua lazima kuna mahali atatumia mbinu zilizotumika kama last resort...tukiweka "partisanship" pembeni ukweli unaonekana ...Mbowe alimuomba maridhiano Rais Magufuli 9 December 2019 lakini mpaka tunaingia kwenye uchaguzi hakuwahi kukumbushia wala kushinikiza chochote kwa sababu Magufuli alikuwa "controversial" na aliwarahisishia kazi yao ( he often shot himself on the foot )...Samia alianza utawala wake akijaribu to tip-toe and please everyone kutoka waliopo kwenye chama chake na wapinzani wake...na kubadili taswira ya serikali yake it was a delicate task na alipotingishwa amerudia mbinu zile zile ambazo hazina benefit yoyote kwa nchi...angalau international media kwa miezi mitatu zilikuwa zikiandika habari chanya kuhusu Tanzania, ila kwa sasa zimehamia kwenye hasi, na hiyo hasi ndio mtaji wa "wanaharakati"Sasa strategies na kumtega wapi na wapi? Wewe ulitegemea Chadema wazuke tu Ikulu bila taarifa kwamba wamefika pale kukutana na samia huku akiwa hana taarifa yoyote!? 😳😳😳
Hiyo ilikuwa ni strategy ya kumuweka Samia under pressure, na kwa namna yoyote walijua lazima kuna mahali atatumia mbinu zilizotumika kama last resort...tukiweka "partisanship" pembeni ukweli unaonekana ...Mbowe alimuomba maridhiano Rais Magufuli 9 December 2019 lakini mpaka tunaingia kwenye uchaguzi hakuwahi kukumbushia wala kushinikiza chochote kwa sababu Magufuli alikuwa "controversial" na aliwarahisishia kazi yao ( he often shot himself on the foot )...Samia alianza utawala wake akijaribu to tip-toe and please everyone kutoka waliopo kwenye chama chake na wapinzani wake...na kubadili taswira ya serikali yake it was a delicate task na alipotingishwa amerudia mbinu zile zile ambazo hazina benefit yoyote kwa nchi...angalau international media kwa miezi mitatu zilikuwa zikiandika habari chanya kuhusu Tanzania, ila kwa sasa zimehamia kwenye hasi, na hiyo hasi ndio mtaji wa "wanaharakati"
Ulitaka Chadema wasikemee uvunjifu wa sheria kwasababu palikuwa na miadi ya kukutana na Rais?
Wacha ushamba.
Hapo umeingiza udini,wewe mkristo mdini mwenye roho mbaya Sana,kwanini usiseme Fulani kampa tuhuma Fulani mpaka utaje dini zao?Mzazibari mwislam kumpa kesi ya ugaidi mkristo wa KKKT...ni lini na wapi duniani mkiristo akawa gaidi wakati dini yetu toka Sunday school tunafundiswa Upendo na kusamehe saba mara sabini..kama bwana wetu Yesu alivyowasamehe wale waliomtesa na kumuua....time.
Hi nchi inapelekwa siko...wakrito tusikubali kuwa sisi ni magaidi..