BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Ufisadi wa Chadema umewaathiri vipi Watanzania? Na hii Serikali haramu iliyojaa magaidi inashindwa vipi kuwakamata majambazi ndani ya Chadema na kuwafungulia kesi za ujambazi badala yake inaishia kuwabambikia kesi FEKI!? Acha kuonyesha ujuha wako hadharani.
Ni wapi hamna ufisadi TZ hii? Huko kwenye vyama vyenu ndiyo majambazi yamejificha. Kama siyo mzee wa kiumri basi ni mzee wa jf (ref lini ulijiunga)