Baada ya huu mshikemshike, watakutana kweli?

Baada ya huu mshikemshike, watakutana kweli?

Kama ni muhimu kufanya hivyo, anaweza kukutana na Shibuda na Mbatia…. kina Mrema na Rungwe mbona fureshiii tu..!!
 
Rais Samia yupo madarakani sasa kwa miezi minne.

Katika muda wake huo madarakani, amekutana na makundi kadhaa sasa: vijana, wazee, maaskofu, akina mama, nk.

Sina hakika kama keshakutana na Waislamu wenzake. Nadhani bado hajakutana nao. I wonder why…maana tayari keshakutana na Wakristo!!

Miezi mitatu iliyopita Mheshimiwa Freeman Mbowe wakati akihutubia taifa alisema kuwa wamemwandikia barua mheshimiwa Rais na kuomba wakutane naye.

Mpaka sasa Bi. Mkubwa hajakutana nao. Sijui amepanga kukutana nao.

Na baada ya kukamatwa kwa Mbowe na hizo tuhuma za ugaidi tulizoambiwa, sijui kama huo mkutano wao utakuja kutokea!

Maana itakuwa ni maajabu Rais wa nchi kukutana na ‘gaidi’ na kufanya naye mazungumzo.

Bi. Mkubwa anaupiga mwingi huku kazi ikiendelea.
Ladha na kionjo cha salamu ya; "Nawasalimu kwa jina la JMT" imeshaingia dosari, kwa makamanda wa CDM itakuwa ni kama uchungu wa sifongo.
 
Nakumbuka enzi za marehemu Kanumba

Directed by: Steven Kanumba
Film By: Steven Kanumba
Executive Producer: Steven Kanumba

WATCH OUT FOR PART 2
Boom swinger : Steven Kanumba
Lighting : Steven Kanumba
Mwanzo wa "credit" mpaka mwisho ni Kanumba,Kanumba,Kanumba.
 
Tatizo Mbowe alikuwa na haraka sana ya kukutana naye..."mama" alivyoanza kuupiga mwingi akaona yeye na wenzake wanapoteza relevancy wakabadili gia angani na kuanza kudai katiba mpya kwa ubabe huku akijua kabisa matokeo yake.
Samia alizuia mikutano ya kisiasa kinyume cha katiba na haki za vyama vya siasa. Hilo ninkosa kubwa sana la kutoheshimu kiapo chake cha urais cha kuheshimu katiba
 
Nguvu iliyokuwa inatumika ilikuwa sio kukemea kuvunjwa kwa sheria ila kudai katiba bila kusikiliza upande wa pili na lugha iliyokuwa inatumika ilikuwa "confrontational" , kwa nini nguvu hiyo na ubabe haukutumika wakati wa Magufuli ?
Huo ubabe aliokuwa nafanya Magufuli ndio matokeo ya hayo wanayo yagombaniwa ili yabadilishwe,by the way hata huyo Magufuli ubabe wake ungekuwa ni swala la muda lazima ufumbuzi ungepatikana tu.
 
Boom swinger : Steven Kanumba
Lighting : Steven Kanumba
Mwanzo wa "credit" mpaka mwisho ni Kanumba,Kanumba,Kanumba.
hadi make-up artist 🙂 ni yy tu .... Watu hawajui hii movie storyboard zake zipo tayari, Kuna watu wameplot mwanzo mpaka mwisho wa hii story,,Sisi ni watazamaji tu..
 
Kudai HAKI na UHURU hakuna muda maalum. Nchi hii ina mfumo wa vyama vingi kwa miaka 30 sasa. Je, tusubiri miaka mingine 30 ili kudai Katiba Mpya hasa ukitilia maanani yaliyojiri katika uchaguzi uliopita ambao mimi nauita UCHAFUZI!?
Nakubaliana na wewe kudai haki na uhuru haina muda maalum, lakini naangalia kwa umakini njia waliyokuwa wanaitumia CHADEMA ilikuwa hailengi kudai haki wala uhuru, ilikuwa ziaidi kumtega Samia ili aonekane ana kandamiza demokrasia. CHADEMA walianza vizuri na shughuli zao za CHADEMA digital, na walifanikiwa kutembea mkoa kwa mkoa bila drama zozote, walitakiwa waelimishe wananchi kuhusu umuhimu wa katiba chini kwa chini kwanza...leo hii Mbowe amekamatwa, walitoa rai kwa wananchi aachiwe ikifika tarehe 22 vinginevyo wataitisha maandamano yasiyo na kikomo , nini kimetokea ?

Walisema 2020 baada ya matokeo ya uchaguzi wananchi waandamane nini kilitokea ?

Kama hawajifunzi kupitia makosa yao kamwe hawawezi kupata matokeo chanya kwenye mabadiliko ya uhuru na haki wanayoyataka.
IMG_20210723_210801.jpg
 
Samia hana ubavu wa kukutana na Mbowe tena, ameshapoteza muelekeo na hajui wapi ataanzia kujenga imani yake kwa wapinzani na wananchi kwa ujumla, ukiondoa wale waimba mapambio wa lumumba.
Yaani una ubavu wa kukaweka kajitu korokolon ila huna ubavu wa kukutana nako.

😀😀😆😅😂KUNA WATU WANAAMINI BADO WATZ HATUJUI KUSOMA NENO AE
 
Hayo ya kusema kwamba Chadema walimtega Samia ni mawazo yako ambayo ni mawazo POTOFU.
Unamtega vipi mtu kwa kumuandikia barua ya KUMUOMBA kukutana naye na pia kumkumbusha hadharani kuhusu barua ambayo mmemwandikia!?

Chadema HAIJAMTEGA samia kwa vyovyoye vile.

Nakubaliana na wewe kudai haki na uhuru haina muda maalum, lakini naangalia kwa umakini njia waliyokuwa wanaitumia CHADEMA ilikuwa hailengi kudai haki wala uhuru, ilikuwa ziaidi kumtega Samia ili aonekane ana kandamiza demokrasia. CHADEMA walianza vizuri na shughuli zao za CHADEMA digital, na walifanikiwa kutembea mkoa kwa mkoa bila drama zozote, walitakiwa waelimishe wananchi kuhusu umuhimu wa katiba chini kwa chini kwanza...leo hii Mbowe amekamatwa, walitoa rai kwa wananchi aachiwe ikifika tarehe 22 vinginevyo wataitisha maandamano yasiyo na kikomo , nini kimetokea ?

Walisema 2020 baada ya matokeo ya uchaguzi wananchi waandamane nini kilitokea ?

Kama hawajifunzi kupitia makosa yao kamwe hawawezi kupata matokeo chanya kwenye mabadiliko ya uhuru na haki wanayoyataka.
View attachment 1865035
 
Kudai HAKI na UHURU hakuna muda maalum. Nchi hii ina mfumo wa vyama vingi kwa miaka 30 sasa. Je, tusubiri miaka mingine 30 ili kudai Katiba Mpya hasa ukitilia maanani yaliyojiri katika uchaguzi uliopita ambao mimi nauita UCHAFUZI!?binafsi

Kudai HAKI na UHURU hakuna muda maalum. Nchi hii ina mfumo wa vyama vingi kwa miaka 30 sasa. Je, tusubiri miaka mingine 30 ili kudai Katiba Mpya hasa ukitilia maanani yaliyojiri katika uchaguzi uliopita ambao mimi nauita UCHAFUZI!?
KUDAI KATIBA MPYA NAUNGA MKONO HOJA.

Ila wanaodai katiba mpya sasa ndio tatizo katiba ya umoja wao tatizo vip katiba ya jamhuri?

NANI ATAILINDA KATIBA JIBU NI RAHISI SIO CHADEMA WALA CCM.

BALI MTANZANIA JE YUPO TAYARI AFE KWA AJILI YA KIZAZI CHAKE? 😷🚶🚶🚶🚶🚶
 
Katiba hii ya sasa iko kimya kuhusu kuvunjwa kwa katiba hiyo iwe ni spika wa Bunge, Waziri au Rais lakini katiba mpya ni LAZIMA iweke wazi vipengele vya KUMUADHIBU yoyote yule hata Rais ambaye ataivunja Katiba hiyo Kwa kutozwa faini kubwa, kwenda jela au adhabu zote mbili kwa wakati mmoja.
KUDAI KATIBA MPYA NAUNGA MKONO HOJA.

Ila wanaodai katiba mpya sasa ndio tatizo katiba ya umoja wao tatizo vip katiba ya jamhuri?

NANI ATAILINDA KATIBA JIBU NI RAHISI SIO CHADEMA WALA CCM.

BALI MTANZANIA JE YUPO TAYARI AFE KWA AJILI YA KIZAZI CHAKE? 😷🚶🚶🚶🚶🚶
 
Hayo ya kusema kwamba Chadema walimtega Samia ni mawazo yako ambayo ni mawazo POTOFU.
Unamtega vipi mtu kwa kumuandikia barua ya kukuomba kukutana naye na pia kumkumbusha hadharani kuhusu barua ambayo mmemwandikia!?

Chadema HAIJAMTEGA samia kwa vyovyoye vile.
Siasa ni mchezo wa kutegeana kama unavyocheza chess na mwanzo wa "mama" mpaka kuambiwa anupiga mwingi alikuwa desperate kuondoa taswira ya kwamba serikali ina kandamiza upinzani na haki za binadamu, Magufuli did not care kuhusu image atakayoongelewa internationally.

Ni lini baada ya 2020 CHADEMA na wanaojiita wanaharakati wa mtandaoni walikuwa na moto wa kudai katiba mpya ama, tume huru ya uchaguzi ? Walikuwa na agenda moja ambayo ni kuonyesha uchaguzi haukuwa huru na wa haki na madhila waliyopata Zanzibar ili serikali inyimwe misaada hiyo ndio ilikuwa agenda kuu mpaka wengine walipeleka faili the Hague sijui imeishia wapi.

Baada ya kifo cha Rais Magufuli hiyo agenda imeyeyuka, hakuna tunachokisikia...ili kwenda na upepo ndio tuakaambiwa katiba mpya kwa ghafla tena kwa kufoka ...hiyo ilikuwa kumtikisa Rais na njia waliyotumia walikuwa hawana cha kupoteza...sasa hivi awamu ya sita ilishapata doa kimataifa, hata ile "branding" itahitaji nguvu zaidi na CHADEMA wamerudi kwenye vyombo vya habari na midomoni mwa watu zaidi..

What-is-politics-but-chess-on-a-grand-scale.jpg
 
Mzazibari mwislam kumpa kesi ya ugaidi mkristo wa KKKT...ni lini na wapi duniani mkiristo akawa gaidi wakati dini yetu toka Sunday school tunafundiswa Upendo na kusamehe saba mara sabini..kama bwana wetu Yesu alivyowasamehe wale waliomtesa na kumuua....time.

Hi nchi inapelekwa siko...wakrito tusikubali kuwa sisi ni magaidi..
Huyu mama anaingizwa Chaka na wahuni wenye maslahi Yao
 
Back
Top Bottom