Baada ya Hotuba ya leo uelekeo wetu ni kwa Benki ya Dunia na Wafadhili wote. Tunajua bila Mikopo na Misaada hamuwezi kufurukuta.

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,494
Reaction score
57,869
Kwa zaidi ya asilimia 98 katika hotuba ya leo ya kufunga Bunge kuna uwezekano atatoa vijembe, atajisifu sana na kujaribu kujionesha amefanya reforms nyingi kustahili kufanya Uchaguzi wa kiini macho hapo Oktoba mwaka huu.

Kwa kuwa tunajua kuwa mnaendesha nchi kwa mikopo na misaada, Baada ya hotuba ya leo, focus yetu ya No Reforms No Elections haitaishia tu kwa Wananchi wa Tanzania. Tunaenda rasmi kwa Wafadhili na Wakopeshaji wote wa Kimataifa mnaowategemea ( Hasa Marekani na Nchi za Ulaya pamoja na Taasisi zao). Tunaenda kuwaambia wasitishe misaada na mikopo yao kwenu hadi pale mtakapofanya reforms za kweli za Katiba na Sheria za Uchaguzi. Tunaenda kuwaambia wawawekee vikwazo nyie na familia zenu. Safari hii vikwazo vimuhusu hadi huyu Mstaafu na Familia yake.

Tunajua mnajitia mna kiburi hasa. Sasa tutaona na hili deni la Taifa lilivyozidi kuwa kubwa kama mtaweza ku survive bila mikopo na misaada.

Tutakuwepo!

No Reforms No Election ✊️✌️
 
Kwani mlikuwa bado hamjaenda kuwaambia wasitishe MISAADA? Mbona mnachelewa? Harakisheni bwana!
 
wamama wakae nyumbani walee familia. Hiyo ndio nafasi yao. sio kuongoza na kutawala!

no reforms, no election

#free Lissu#
 
Kwa zaidi ya asilimia 98 katika hotuba ya leo ya kufunga Bunge kuna uwezekano atatoa vijembe, atajisifu sana na kujaribu kujionesha amefanya reforms nyingi kustahili kufanya Uchaguzi wa kiini macho hapo Oktoba mwaka huu.

Kwa kuwa tunajua kuwa mnaendesha nchi kwa mikopo na misaada, Baada ya hotuba ya leo, focus yetu ya No Reforms No Elections haitaishia tu kwa Wananchi wa Tanzania. Tunaenda rasmi kwa Wafadhili na Wakopeshaji wote wa Kimataifa mnaowategemea ( Hasa Marekani na Nchi za Ulaya pamoja na Taasisi zao). Tunaenda kuwaambia wasitishe misaada na mikopo yao kwenu hadi pale mtakapofanya reforms za kweli za Katiba na Sheria za Uchaguzi. Tunaenda kuwaambia wawawekee vikwazo nyie na familia zenu. Safari hii vikwazo vimuhusu hadi huyu Mstaafu na Familia yake.

Tunajua mnajitia mna kiburi hasa. Sasa tutaona na hili deni la Taifa lilivyozidi kuwa kubwa kama mtaweza ku survive bila mikopo na misaada.

Tutakuwepo!

No Reforms No Election ✊️✌️
Siwezi kupoteza muda wangu kuangalia mipasho tupu
 
Empty ....

Tulipe kodiii kuchangia maendeleoo
 
Huyu bibi kwa damu za watu alizozimwaga na haki za watu alizozidhulumu, lazima ajutie kwa laana zitakazoambatana naye na kizazi chake.
 
Lazima aje kuzilipa siku. Kama sio yeye ni uzao wake
 
Kwa zaidi ya asilimia 98 katika hotuba ya leo ya kufunga Bunge kuna uwezekano atatoa vijembe, atajisifu sana na kujaribu kujionesha amefanya reforms nyingi kustahili kufanya Uchaguzi wa kiini macho hapo Oktoba mwaka huu.

Kwa kuwa tunajua kuwa mnaendesha nchi kwa mikopo na misaada, Baada ya hotuba ya leo, focus yetu ya No Reforms No Elections haitaishia tu kwa Wananchi wa Tanzania. Tunaenda rasmi kwa Wafadhili na Wakopeshaji wote wa Kimataifa mnaowategemea ( Hasa Marekani na Nchi za Ulaya pamoja na Taasisi zao). Tunaenda kuwaambia wasitishe misaada na mikopo yao kwenu hadi pale mtakapofanya reforms za kweli za Katiba na Sheria za Uchaguzi. Tunaenda kuwaambia wawawekee vikwazo nyie na familia zenu. Safari hii vikwazo vimuhusu hadi huyu Mstaafu na Familia yake.

Tunajua mnajitia mna kiburi hasa. Sasa tutaona na hili deni la Taifa lilivyozidi kuwa kubwa kama mtaweza ku survive bila mikopo na misaada.

Tutakuwepo!

No Reforms No Election ✊️✌️
Pumbavu zako, kwani misaada ikikosekana kuna kiongozi atakayekosa chakula nyumbani kwake??
 
Tutakuwepo. Utaelewa sasa kama Tanzania bila misaada na mikopo inawezekana au haiwezekani.
 
Back
Top Bottom