Albert Wilson Albert
Member
- Aug 22, 2018
- 45
- 53
Hii Imeenda vizuri kweli kweliMkuu,
Waache wamuombee mpendwa wao hata kila siku, ni haki yao ya kikatiba na sehemu ya haki zao za kibinadamu.
Vibaya ni kumlazimisha mtu kuomba tu, lakini, kama wanaomba kwa hiyari yao na utashi wao, ni haki yao tu.
Na wewe kama unaona kumuombea sana Magufuli kuliko Nyerere ni kitu kibaya, unaruhusiwa kumuombea Nyerere hata kila siku, hata mara kadhaa kwa siku, ili uwazidi hao wanaomuombea Magufuli.
Tatizo liko wapi?