Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

kitu bora kabisa watanzania wasomi wanachoweza kufanya

hatred

Then...Makonda ni R.C, vyeo ambavyo kamwe hamji kuvipata nyie na familia zenu
Ni kweli yeye ndiye RC. Lakini kama kaghushi vyeti alias jina haiwezi kunyamaziwa. Ukuu wa mkoa haufuti tuhuma /kosa. Kuwa mkweli wewe kilaza.
 
Inabidi wife umpe zawadi ya maana. Sisemi Kama kweli, ingekuwa mimi ningedai kitu cha maana kulindi Siri na kubeba aibu za mme wangu.
Bora wewe mkuu unajitambua. Kuna jamaa hapa stendi tunapobeba mizigo ya wasafiri alinambia wale wenye vyeti fake huwa wana mikelele na kujipendekeza sana kwa boss. Naanza kuamini maneno yake.
 
Kuna jamaa huku pembezoni alikuwa jeuri jeuri akajikuta anaamka yupo stand ya bajaji na mkewe
huku pembezone hatutak mbwembwe ndo mana mkuu alituletea wanajesh tu na niwastarab , akija yule mapema tu raia hawachelewesh anaamka yupo juu ya mti
 
Magazeti yote ya leo naona hawajaandika chochote kuhusu habari ya bwana Daudi Albert Makonda tofauti na baadhi yetu tulivyotarajia.

Binafsi nilitarajia waandishi wangewatafuta wahusika na kuwahoji ili kupata maoni yao juu ya tuhuma zinazowakabili ila naona imekuwa kinyume chake.

Ukimya huu una maana kubwa sana kila mwenye akili ajiongeze.

Mabadiliko nchi hii yataletwa na mitandao ya kijamii na si vyombo vyetu hivi vya habari vinavyoonekana kutokuwa uhuru.

Ubatikiwe sana mgunduzi wa social networks/media.
Waandashi wa habari wakienda ku-balance habari kwa Daud Albert wanapozwa na GSM wamekubali kucheza na wahariri wa magazeti yote wasitoe habari ya Daud juu ya vyeti vyake hii ndiyo Tanzania hakuna kisichowezekana.
 
Magazeti yanaogopa kwa sababu hakuna reliable sources za hizi habari zaidi ya whatsapp, jf na instagram...


Mtafuteni msukuma akiliadress itakuwa simple kwa magazeti kuandika..
Si kwamba magazeti wanaogopa bali ni GSM na baadhi ya maadui wa Gwajma, Manji na wenzao wamemchangia mapesa mengi Daud Albeit amewanunua wahariri na waandishi kibao wasiandike habari za vyeti vyake.
 
Si kwamba magazeti wanaogopa bali ni GSM na baadhi ya maadui wa Gwajma, Manji na wenzao wamemchangia mapesa mengi Daud Albeit amewanunua wahariri na waandishi kibao wasiandike habari za vyeti vyake.
Yaaani hadi yale magazeti ya kina Freeman yamenunuliwa?

Sio kweli mkuu! ....
 
Watu mlioko NECTA huko hebu fanyeni kuvipiga picha chap chap hivo vyeti tuvione...
 
Si kwamba magazeti wanaogopa bali ni GSM na baadhi ya maadui wa Gwajma, Manji na wenzao wamemchangia mapesa mengi Daud Albeit amewanunua wahariri na waandishi kibao wasiandike habari za vyeti vyake.
Alafu mkuu! Kuna nini kati ya GSM na makonda?


Gsm wanagain nini kwa makonda? Huwa nasikia tuu GSM ! GSM!

Niume sikio hebu nifahamu...
 
Kwa mkurupuko anaofanya...kijana yule hashindwi kupata Zero kidato cha NNE na kwakukaba wazee kijanayule hashindwi kununua cheti cha mtu na kwakumwita askofu Gwajima na kumpima kuhusu madawa hashindwi kudanganya!!
 
Kwa kuwa hili ni jukwaa la great thinkers hatuna sababu ya kuwa na precedence. Hebu hoja ya msingi ijibiwe kwanza kuhusu cheti hicho, kisha tutajadili uhalali wa nafasi ya mtu na cheti chake.

Hii ni serious allegation mhusika asafishe tu hali ya hewa ktk dhana ile ile ya ukweli na uwazi. Angalizo: hoja hii haiwezi kufa kibudu hata kwa kuchimbia kichwa mchangani.
 
sasa kawatuma watu tabora wakampoze Paul mmiliki wa cheti ili akanushe.
Tutafute Matokeo ya Form Four ya Daudi Albert makonda Kisha tuchukue matokeo ya Form four ya Paul Christian Kagenzi(Tabora) na Tuchukue Matokeo ya form four anayotumia Paul Christian Makonda tuyalinganishe tutapata majibu mazuri sana,Tukifanya hivyo yaani majibu saa mbili asubuhi tunayapata kabla hata NECTA hawajafungua ofisi zao.
 
Ajibu tuhuma kama angekuwa mwana cdm mbona ccm mungetoa povu? Mbona mwigulu alijibu akuje hapaaaa
 
Hapo zamani wengi wetu tulifanya tena karibu wote tuliforge baadhi ya vyeti ili tuendelee na masomo sasa ni yupi awezae kulikubali suala la namna hii kama ni kweli alilitenda..?,hata wewe muuliza swali pia huenda uliforge pahala,JE LINGE BUMBULUKA KWAKO NA LABDA UPO KATIKA MAFASI YA ULAJI UNGEKUBALIANA NALO..???
WEWE "PASKALI"?
Huyu ni mtoto wa juzi tu siyo zamani. Kama hiyo form 4 atakuwa alimaliza miaka ya 2000. Na siyo watu wengi waliforge vyeti ili waendelee na shule cha muhimu aseme alimaliza shule gani mwaka gani ni very simple majibu yake tutaona na ya huyo mtangazaji na shule yake aliyo malizia tuweke pamoja utajulikana ukweli na uongo
 
Paskal Mayala tupige vita madawa ya kulevya vijana wetu wanaangamia.Paul Makonda amepuliza tarumbeta kitu ambacho viongozi wengi kimewashinda.

Najua kila mmoja atatafuta taarifa za Makonda ili mradi tu ziwe ni za kumkatisha tamaa na hii ni tabia ambayo tumekuwa nayo sana watanzania pale anapojitokeza MTU kugusa maslahi yao.

Biashara hii INA mtandao mkubwa ndani na nje ya Serikali na wengi wakubwa hawajapenda pale Makonda alipolianzisha.

Kuhusu majina hilo ni personal Sina comment labda wenye taarifa.ila kwangu si la msingi sana maana hata Mimi najua kuna watu wengi tu wamesoma na majina ya watu wengine miaka ya nyuma ilikuwa kama kawaida toka primary.

La msingi kwangu mimi ni hii vita ya madawa ya kulevya lazima tupigame wote na tu support juhudi za Makonda na sio kuanza kuzizima kwa namna yoyote ile.
Mimi paka sasa sijaona vita alivyopigana kuhusu madawa ya kulevya. Kutaja mateja hata wewe unaweza kwenda polisi au kumpiga simu au kunyetisha kwenye media kwamba fulani ni teja au ni muuza madawa. Hakuanza yeye kila siku watu wanakamatwa kwa taarifa kama hizo. Labda tofauti yeye ni kutangaza kwenye media kwa kutumia cheo chake. Hata hivyo hawezi kukamata wauzaji kwa kuwaita kesho njoo polisi haijawahi kutokea Duniani na haitatokea tena eti muuza nganda ataitwa njoo kesho kituoni wewe unauza nganda, maana yake aondoe evidence. Eti mnamsifia hii kitu ipo Tanzania tu. Hata prime minister amekataza maana si sahihi
 
Back
Top Bottom