Tuache wivu,, Over,, Makonda anafaa kuwa kiongozi,, Over ,, hata kama hana Elimu lakini ameonyesha ana kipaji cha uongozi kazaliwa nacho ,,Over,, Hata mimi Babu yangu hakusoma lakini alikuwa ni Chief bora kabisa katika ukanda wa kule kwetu,, sifa zake zimetapakaa hadi kesho utazikuta ,,,
Nenda kule Butiama utakutana na jina la Burito Nyerere huyu babu hakupiga kidato chochote,, bali alizaliwa na Kipaji cha Uongozi.,,Hivyo Makonda unaweza kumuweka katika kundi hilo,,
Labda hao wengine wawili Nchemba na Ngwangala hawo mnaweza kuendelea kuwahoji. Lakini Makonda Amefiti acheni kijana apige kazi OVER,,
Mnaacha kujadili kwann Caf wanaidhalilisha Yanga kwa kuipangia vitimu vya Comoro,, Shelishel na Madagasca,, wakati huo huo Tff nao wanaendeleza dharau kama hizo za Caf kwa kuiweka Yanga kundi la akina Kiluvya fc na Kumung,unya Rangers,, Nyie mkalia habari za MAKONDA tu.