Yaa very special general caseSad news, this woman must have spiritual problems. Just imagine you did one, two to fourth, and even you don't remember the man you are punishing is the one who brought you up. Men don't generalize this plse, it is a special case lol!
Inakuwaga kuanzia wa pili au wa tatu hadi Mwisho. Hapa matheri alirudisha upendo raundi ya 5 halafu akarudi kwenye mchepuko njia kuu wakeYani kati ya Watoto 6, wako ni Mtoto wa 1 na Mtoto wa 5 Jamani!!!!..
Hapo jamaa kaanza somesha mke toka secondary, chuo hadi kapata kazi!!..Kahangaika somesha na watoto wote 6 bila kujua!!..Huyo mwanamke huyo!!..
wasukuma wenzangu njoeni tujifunze kitu 😉😀
Itakuwa kwa baadhi na sio kwa kila mwanamkeWanaosema ukiitaka pepo ipo MIGUUNI mwa mama yako sijui wanamaanisha nini?
Mama yako mwenyewe ndo awe huyo mtajwa hapo, pepo inakaaje miguuni mwake sasa???
Au nachanganya maana ya neno pepo!!!
haijakutokea ndoa maana unasema hivyohayo ni maamuzi ya hasira aliyochukua. Kitanda hakizai haramu, amewatesa bure hao watoto kwani hawana hatia kuzaliwa.
Hayo si Zambia tu, fatalink: Una uhakika gani kuwa u mtoto wa baba'ko?
ulipotelea wapi wewe mama?Hayo si Zambia tu, fatalink: Una uhakika gani kuwa u mtoto wa baba'ko?
Kaka alaf hii ndio unakuta mwanaume anachinja mke kabisa. Alicho mfanyia huyu bwana kwakweli c haki. C haki kabisaYani kati ya Watoto 6, wako ni Mtoto wa 1 na Mtoto wa 5 Jamani!!!!..
Hapo jamaa kaanza somesha mke toka secondary, chuo hadi kapata kazi!!..Kahangaika somesha na watoto wote 6 bila kujua!!..Huyo mwanamke huyo!!..
wasukuma wenzangu njoeni tujifunze kitu 😉😀
Trust is so underated this days'Trust' is a very sensitive word.
Na haswa kama ni wakubwa kabisa. Hili tukio litakuwa ni doa ambalo halita futika milele kwenye maisha yao.Hao watoto wanaweza kumchukia mama yao vibaya mno, kuna binadamu wana akili za kinyama sana.
Bora hata ingekuwa nusu kwa nusu.yaani katika sita wa kwake wawili tuAisee huyo baba anaweza kujiua kwa uchungu wa moyo alionao.
Wanawake wengine hata shetani anawashanga
Hata Kama ni mmoja best maumivu yapo nakujiuliza maswali mengiBora hata ingekuwa nusu kwa nusu.yaani katika sita wa kwake wawili tu