Baada ya 'DNA test' watoto wanne kati ya sita si wake

Baada ya 'DNA test' watoto wanne kati ya sita si wake

Wanaosema ukiitaka pepo ipo MIGUUNI mwa mama yako sijui wanamaanisha nini?

Mama yako mwenyewe ndo awe huyo mtajwa hapo, pepo inakaaje miguuni mwake sasa???

Au nachanganya maana ya neno pepo!!!

Pepo la kuzimu
 
Bora hata ingekuwa nusu kwa nusu.yaani katika sita wa kwake wawili tu
Inaumiza sana, japo ni stori ya upande mmoja, huenda naye alikuwa matatizo yaliyompelekea mke kuchepuka, japo nalo halimpi uhalali kuzaa nje ya ndoa.
 
duh ,uyo mwanamke kafanya unyama sana ,ata shetani itakua kamuogopa kwa alichofanya
 
aisee,
uyu mwanamke hata ukimtakata vipande vipande bado haitoshi kumaliza machungu labda kumchanjachanja kisha kumpakaa pilipili na utomvu wa mpapai kila siku asubuhi na jioni huku tukifikilia lini tumpeleke guantanamo
 
hayuko sahihi kumhukumu mke wake kwa kipimo kimoja tu cha DNA, wapo watu waliowahi kupata matokeo tofauti kwenye vipimo tofauti
 
Hawezi kuisoma namba amezoea maisha ya hivyo ataendelea kulitembeza
Kuna kipindi linadoda, midume ikigundua inachangia mingi kila mmoja anasepa.
Unajua kila mmoja alijua anamwibia mwenye mke, ikigundua ni timu ya mpira kila mmoja anasepa
 
Kuna kipindi linadoda, midume ikigundua inachangia mingi kila mmoja anasepa.
Unajua kila mmoja alijua anamwibia mwenye mke, ikigundua ni timu ya mpira kila mmoja anasepa
Anatafuta wapya wasiomjua. Kwanza katika hali ya kawaida hakuna awali mbovu wataitana X na watarudi kukumbushia
 
hayuko sahihi kumhukumu mke wake kwa kipimo kimoja tu cha DNA, wapo watu waliowahi kupata matokeo tofauti kwenye vipimo tofauti
Are you shure na unachokisema? Mpaka huyu jamaa ameanika , ujue mtu mzima atanii. Kishindo kikubwa hiki mzee
 
Binafsi napenda niwe na mtoto mmoja tu kama njia ya kuepuka kubambikiwa wtt nisiowazaa, i do biliv kwamba yule mtt wa kwanza biologicaly lazima awe ananihusu.. Wht has been commited by the mother of 6 against her husband is totaly inhuman!
 
Hiyo ni aibu, ulikuwa mume unageuka kuwa mchepuko!!!!
Heshima iko wapi?
Yeye mwenyewe atachukua muda kupona
Mkuu tufurahishe kijiwe lakini haya mambo ni zaidi ya uuwaji yakikukuta ndio utajua mbivu na mbichi
 
Back
Top Bottom