Baada ya as vita kutolewa ,mazembe naye keshapigwa goal

Simba mpaka sasa ana nafasi kubwa ya kuingia makundi kama big giant,sasa hivi vijitimu vya under dog vitakavyoingia makundi ni vya kuangalia kwa umakini mkubwa sana.
 
Naitakia kila la kheri timu yangu ya Jwaneng Galaxy hapo kesho huko dar es salaam
Na imani mechi yetu ya kesho itaamuliwa kwa matuta

ni mimi mwana jf nikiwa Gaborone, Botswana
Nashukuru sana dua zetu wanabotswana zimejibiwa
 
Simba, end of an era. Now the team will be forced to play on the pitch rather than on the media as they're used to.
 
Back
Top Bottom