Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,155
- 31,055
Hiki ulichopost hakina uhusiano na alicholalamika hiki inaongelea fake subscribers na non-active accounts, siyo lazima uwe subscriber kuwa accounted as a viewer
Hiki ulichopost hakina uhusiano na alicholalamika hiki inaongelea fake subscribers na non-active accounts, siyo lazima uwe subscriber kuwa accounted as a viewer
Asante sana Mkuu, hii elimu bora sana kwa watu ambao huwa wanalalamika bila kuelewa kuwa help desk au youtube Mgt! ndio controller wa viewers na credits!!That is very stupid to accuse Diamond for such rubbish! Mwambieni aandike email support@youtube.com awaulize kwa nini views zinashuka, au aingie kwenye help forum a post topic au malalamiko yake hapo:
YouTube Community
But also, kitu ambacho hawa wasanii wenye magroup ya whatsapp wanaowatuma wafuasi wao waende ku watch videos kwa lengo la kuongeza views, sasa wao wana replay over and over kila baada ya few seconds then views zote zinakua nullified.
Kwa kawaida YouTube wanahesabu VIEW iwapo mtu una watch video for more than 30 seconds, chini ya hapo, inakua 0 hata kama ume watch mara 100, so usishangae ukawa na video ina views 1m then after 48 hours ikawa na 800k
Unaakili za kipoyoyodiamond kawaloga YouTube.. wamepunguza viewers za Nandy
Watu waliofeli na masikini wa akili siku zote matatizo yao uwalalamikia wengine.Kuna clip moja niliona mtandaoni Kuna jamaa fulani akihojiwa baada ya kufeli mtihani wa kidato Cha nne wa mwaka Jana akaulizwa kwanini umefeli? akajibu serikali imesababisha nifeli akaulizwa Tena kwasababu gani?
WaTz tuna shida sanaWatu waliofeli na masikini wa akili siku zote matatizo yao uwalalamikia wengine.Kuna clip moja niliona mtandaoni Kuna jamaa fulani akihojiwa baada ya kufeli mtihani wa kidato Cha nne wa mwaka Jana akaulizwa kwanini umefeli? akajibu serikali imesababisha nifeli akaulizwa Tena kwasababu gani? Akajibu walimu wameshindwa kulipwa mishahara yao akaulizwa Tena shule yenu wamefaulu wangapi akataja 87 Kati ya 150 akaulizwa Tena Kama tatizo ni waalimu kutolipwa mishahara yao hao 87 wamefauluje? akashindwa kujibu
Labda mwizi wa penseli kaiba na viewersKuna kila dalili hili lalamiko limeelekezwa mahali fulani kama wahujumu wa viewers. basi sawaah! Ngoja tukajazilize Jeje kwanza angalau ifike 6M ndani ya week 1 tutakuja kujibu tuhuma.
Hajalaumu kaomba ushauri kwa watu wanaojua hasa watu wa IT.Si ajabu hii ni kiki watu wakumbuke ngoma yake. Maana badala ya kuwauliza you tube analaumu hewa !!!
Nimevumilia hii siku ya nne sasa... Uko youtube vinatokea vitu vya ajabu sana! Ni nini tatizo ni nini kwanini nikifikisha laki 9 viwers wanarudishwa nyuma mpaka laki 8 au 7 hii siku ya nne naona miujiza tu kwenyeaccount yangu.
Nilikuwa 934k now bimerudishwa asubuhi hadi laki 8 ni nini sitak kuhukumu watu naomba watu wa it mnisaidie kuna nini? Why huu mchezo unatokea wa ajabu tatizo ni nini? Na kama ni michezo mibaya ya fitna basi hewalaaaa.
Kuna kila dalili hili lalamiko limeelekezwa mahali fulani kama wahujumu wa viewers. basi sawaah! Ngoja tukajazilize Jeje kwanza angalau ifike 6M ndani ya week 1 tutakuja kujibu tuhuma.
Hii itasababisha pia mashabiki wengi wa diamond kumchukia anaanza kujitengenezea nyufa mwenyewe na mashabiki wa diamond washaanza teyali kumuattack kwenye Instagram yake.Ni kweli kabisa hapa ni wazi wanaelekezewa shutuma timu ya Diamond maana wao ndio huonekana ni watu wabaya sana kuliko wote hapa tanzania?
Huu ni ujinga ambao sikutegemea toka kwa Nandi