Baada ya Alikiba sasa ni Nandy alalamika kushushiwa views Youtube

Robidinyo

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
3,738
7,688
Nimevumilia hii siku ya nne sasa... Uko youtube vinatokea vitu vya ajabu sana! Ni nini tatizo ni nini kwanini nikifikisha laki 9 viwers wanarudishwa nyuma mpaka laki 8 au 7 hii siku ya nne naona miujiza tu kwenyeaccount yangu.

Nilikuwa 934k now bimerudishwa asubuhi hadi laki 8 ni nini sitak kuhukumu watu naomba watu wa it mnisaidie kuna nini? Why huu mchezo unatokea wa ajabu tatizo ni nini? Na kama ni michezo mibaya ya fitna basi hewalaaaa.
 
Ushahidi wa picha toka kwa nandy
officialnandy_20200310_7.jpeg
officialnandy_20200310_5.jpeg
officialnandy_20200310_6.jpeg
officialnandy_20200310_3.jpeg
officialnandy_20200310_2.jpeg
officialnandy_20200310_4.jpeg
officialnandy_20200310_1.jpeg
 
That is very stupid to accuse Diamond for such rubbish! Mwambieni aandike email support@youtube.com awaulize kwa nini views zinashuka, au aingie kwenye help forum a post topic au malalamiko yake hapo:

YouTube Community

But also, kitu ambacho hawa wasanii wenye magroup ya whatsapp wanaowatuma wafuasi wao waende ku watch videos kwa lengo la kuongeza views, sasa wao wana replay over and over kila baada ya few seconds then views zote zinakua nullified.

Kwa kawaida YouTube wanahesabu VIEW iwapo mtu una watch video for more than 30 seconds, chini ya hapo, inakua 0 hata kama ume watch mara 100, so usishangae ukawa na video ina views 1m then after 48 hours ikawa na 800k
 
Algorithm ya youtube huwa inapunguza idadi ya views hasahasa pale mtu anapoangalia video zaidi ya mara moja au robotic views au views za kijanja,ila huo mfumo wa kupunguza huwa unachelewa kufanya kazi ndio maana inakuwa hivyo. Mfano, Kama watu 1000 wakiangalia video mara 200 (mara 20 kwa siku 10) pale itaandika views 200k ila mfumo ukichuja itarudi kwenye 1k. Kama kuna account zisizo eleweka kama ni fake au robotic au ni dormant lazima na zenyewe zitapunguzwa views zake. Youtube hawataki ujanjaujanja wanataka maviewer wa kweli kwa kila video.
 
Algorithm ya youtube huwa inapunguza idadi ya views hasahasa pale mtu anapoangalia video zaidi ya mara moja au robotic views au views za kijanja,ila huo mfumo wa kupunguza huwa unachelewa kufanya kazi ndio maana inakuwa hivyo. Mfano, Kama watu 1000 wakiangalia video mara 200 (mara 20 kwa siku 10) pale itaandika views 20k ila mfumo ukichuja itarudi kwenye 1k. Kama kuna accoint zisizo eleweka kama ni fake au robotic au ni dormant lazima na zenyewe zitapunguzwa views zake. Youtube hawataki ujanjaujanja wanataka maviewer wa kweli kwa kila video.

Probably it’s true. Me siwezi amini YouTube ikulipe hela halafu waweke system mizinguo, yaan kila mtu mwenye access basi anaweza kuingia kwenye account yako akapunguza views.
 
Back
Top Bottom