eden hazard
New Member
- Jan 16, 2014
- 1
- 0
wasepe tu tunawafuata
Wabongo bwana sasa hili swala lina tija gani wa taifa?Habari ni kuwa baada ya Clouds kuwasimamisha kazi hawa jamaa watatu waliokuwa kwenye kipindi cha XXL sasa wamejiunga Magic FM, haijajulikana watakuwa kwenye kipindi gani lakini uwezekano mkubwa ni kupewa time slot ya saa saba hadi kumi jioni ambayo sasa hivi ina kipindi cha daladala beats.
Wabongo bwana sasa hili swala lina tija gani wa taifa?
Habari ni kuwa baada ya Clouds kuwasimamisha kazi hawa jamaa watatu waliokuwa kwenye kipindi cha XXL sasa wamejiunga Magic FM, haijajulikana watakuwa kwenye kipindi gani lakini uwezekano mkubwa ni kupewa time slot ya saa saba hadi kumi jioni ambayo sasa hivi ina kipindi cha daladala beats.
we kinywesi.........cho......lina tija kwa wapenda burudani, Zumbukuuu mzee vipi bana
Hii redio ibapenda sana mabwabwa kama yule haris kapiga bwabwa halafu mchungaji antia kichefuchefu mie,na juZ kafungua club ya usiku anaendeleza ufuska wake,any way ruge safi jigongee tu ukitaka
Nimeangalia page ya reuben ndege kaandika "b12 adam mchovu na f etty magic on fm station (nadhani sasa nimeeleweka lol)" nimeona maneno hayo on facebook. Sasa natangaza kuichukia clouds fm rasmi toka moyoni
Kiinglish kigumu..
Hii redio ibapenda sana mabwabwa kama yule haris kapiga bwabwa halafu mchungaji antia kichefuchefu mie,na juZ kafungua club ya usiku anaendeleza ufuska wake,any way ruge safi jigongee tu ukitaka
Maisha ni popote nimewakumbuka Fina Mango na Masoud Kipanya nao walitimuliwa lakini maisha yalizidi kuwanyookea sasa tusubili kwa hawa.