B12, DJ Fetty na Adam Mchomvu Wameenda Magic FM

B12, DJ Fetty na Adam Mchomvu Wameenda Magic FM

Kumbe sio mimi peke yangu ninayemsikiaga nikadhan labda nakosea kumtuhumu hivyo ....

Ni ushamba na ulimbukeni ndio unamsumbua. Mwanaume unakuwa na pozi za mashaka mashaka inakuwaje?

Kama ataiona hii post basi ajirekebishe au watu wake wa karibu wamfikishie. Anaboa sana.
 
Habari ni kuwa baada ya Clouds kuwasimamisha kazi hawa jamaa watatu waliokuwa kwenye kipindi cha XXL sasa wamejiunga Magic FM, haijajulikana watakuwa kwenye kipindi gani lakini uwezekano mkubwa ni kupewa time slot ya saa saba hadi kumi jioni ambayo sasa hivi ina kipindi cha daladala beats.

Shibisha uzi ni kwa nini wametimuliwa
 
Hivi hii clouds ina kipi cha kusikiliza hasa mapaka watu wana huzunika hivi?
 
kama hivyo daladala beats itarudi katika hadhi yake...kipindi cha longtime sana na chenyewe...
 
loading...............................................:llama:
 
loading:llama:..........................................................
 
Hao watotoo walikua watiifu wenye unafiki kwa Ruge, ilikua ukimgusa Ruge ni sawa umegusa makalio yao. Sasa kina Kibonde watambue wao pia siku zao zinahesabika sanjari na anguko la clouds media.
nilisema humu anguko la Fiesta ilikua ishara tosha kuwa nguvu yao ya kuandaa matamasha ilianza kupungua.

RIP clouds media , rip prime time
 
Back
Top Bottom