B12, DJ Fetty na Adam Mchomvu Wameenda Magic FM

B12, DJ Fetty na Adam Mchomvu Wameenda Magic FM

Waende mahakamani wakaweke pingamizi ya kujadiliwa kuhusu hatma ya utangazaji wao ili wawe watangazaji wa mahakama kama mwenzao.
 
Clouds media group wamewaza kweli.

Mnajisumbua kabisa kuwajadili hawa watu wakati hakuna kufukuzana wala kusimamishwa.


Wanacho jaribu kutafuta ni attention tuu zenu na mkitaka kuamini subirini mwezi wa tano muone.

Hawa Clouds media group wanajua fika ni wengi mgependa kusikia hao vijana wamefukuzwa na wanacho fanya ni kutumia nafasi hiyo kutafuta attention ya watu kwenye media yao.

Ni wazi hawa vijana wamepewa likizo huku clouds media group wakitengeneza scandal kuwa wame wafukuza wakati si kweli.

Wanajua kipindi hiki watapata wasikilizaji wengi zaidi hata ambao walikuwa hawasikilizi radio yao watasikiliza wakitaka kujua hatma ya hao watangazaji na hasa kwenye hicho kipindi.

duh ungekuwa mchezaji tungekuita, m c msikilizaji wa hyo radio bt technically umeongea jambo la msing big up! na hata kama itakuwa kwel bdo ukwel utabaki ulicho sema kuwa mlinganyo!
 
Back
Top Bottom