B12, DJ Fetty na Adam Mchomvu Wameenda Magic FM

B12, DJ Fetty na Adam Mchomvu Wameenda Magic FM

Watangazaji wa clouds sijui wako vp?

Kuna huyu Emmanuel Likuda wa Jahazi yuko kama shoga zile swaga zake. Utamsikia mmhh!!!,kweli?,na maneno mengine yenye pozi za kishoga shoga
 
kama walioonewa saw nawatakia kila lakheri huko kwenye kituo kipya lakin kama ni utovu wa nidhamu wajirekebishe .
vinginevyo huko nako watatmuliwa
 
gadner alishawaonesha kama inawezekana kuhama claus, sasa waende wakatulie huko hamna porojo wala kuongea utumbo, wasidhani kuna sera za claus za pumbanism.
 
B12 WA CLOUDS FM AZUNGUMZIA ISHU
YAKE YA KUSIMAMISHWA KAZI

Hamis Mandi aka B12 mkali wa pindi la XXL ni
miongoni kati ya watangazaji wa Clouds walio
subirishwa kazi ya utangazaji kutokana na madai
ya chinichini ya kuwa wamekiuka sheria na
taratibu za Clouds Media inavyotakiwa
kuendeshwa.

±

Baada ya chanzo chetu kuzinasa taarifa hizo,
kiliamua kumvutia wire B12 live bila chenga naye
akamwagika kimtindo huu,
“Mimi bado nipo Clouds media sema tu
sipo kwenye kipindi now lakini mwezi wa
pili nitakuwa ndani ya kipindi ukitaka full
details zungumza na uongozi wa Clouds
Media hope utafahamu zaidi things follow
apart” – B12.

Source:lindiyetu-Fahari ya kusini

FAHARI YA KUSINI MWA TANZANIA: B12 WA CLOUDS FM AZUNGUMZIA ISHU YAKE YA KUSIMAMISHWA KAZI
 
Nimeangalia page ya reuben ndege kaandika "b12 adam mchovu na f etty magic on fm station (nadhani sasa nimeeleweka lol)" nimeona maneno hayo on facebook. Sasa natangaza kuichukia clouds fm rasmi toka moyoni
Sasa unaichukia kwa lipi?
km wamekiuka utaratibu wa ofisi wachekewe Tuu ili wewe usiichukie?
 
Wale vijana watagundua sasa kwamba walikuwa wanapoteza muda pale clouds
 
Watangazaji wa clouds sijui wako vp?

Kuna huyu Emmanuel Likuda wa Jahazi yuko kama shoga zile swaga zake. Utamsikia mmhh!!!,kweli?,na maneno mengine yenye pozi za kishoga shoga
...yawezeka! siku hizi tabia hii inazidi kuongezeka kila kukicha... "vijana wengi wanapakuliwa kimtindo" na ni rahisi sana kuwatambua...
 
Watangazaji wa clouds sijui wako vp?

Kuna huyu Emmanuel Likuda wa Jahazi yuko kama shoga zile swaga zake. Utamsikia mmhh!!!,kweli?,na maneno mengine yenye pozi za kishoga shoga

Kumbe sio mimi peke yangu ninayemsikiaga nikadhan labda nakosea kumtuhumu hivyo ....
 
Haya sasa Reuben Ndege amekuja na hii kwenye Facebook page yake ........"Nilichomaanisha kwenye post 2 zilizopita ni kwamba.....MIXER YA KIPAJI CHA BDOZEN+MCHOMVU+FETTY KWENYE FM AIRWAVES MATOKEO YAKE NI MIUJIZA HEWANI AKA MAGIC ON AIR....hicho tu....sio chochote kingine....samahi kwa aliekwazika"

Hata mimi mara ya kwanza nilikuwa sijamuelewa vizuri Reuben Ndege
 
Hivi hii redio bado kuna watu wanaisikiliza?
 
Hebu tuambie yule jamaa anayesega gazeti la makorokocho kapona hivi anaitwa nani sikapendi kale kamtu
 
...yawezeka! siku hizi tabia hii inazidi kuongezeka kila kukicha... "vijana wengi wanapakuliwa kimtindo" na ni rahisi sana kuwatambua...

Aisee kweli kabisa. Hawaoni hata aibu.
 
Back
Top Bottom