B12, DJ Fetty na Adam Mchomvu Wameenda Magic FM

TinyMonster

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2009
Posts
242
Reaction score
154
Habari ni kuwa baada ya Clouds kuwasimamisha kazi hawa jamaa watatu waliokuwa kwenye kipindi cha XXL sasa wamejiunga Magic FM, haijajulikana watakuwa kwenye kipindi gani lakini uwezekano mkubwa ni kupewa time slot ya saa saba hadi kumi jioni ambayo sasa hivi ina kipindi cha daladala beats.
 
Kwani Fatuma naye katimuliwa Clouds? Mbona nilisikia ni Mchomvu, B12 na binti wa Malinzi?
 
Inaonekana kasepa maana hajasikika muda mrefu, atakuwa kaamua kuondoka na washikaji zake.
 
Maisha ni popote nimewakumbuka Fina Mango na Masoud Kipanya nao walitimuliwa lakini maisha yalizidi kuwanyookea sasa tusubili kwa hawa.
 
Habari ni kuwa baada ya Clouds kuwasimamisha kazi hawa jamaa watatu waliokuwa kwenye kipindi cha XXL sasa wamejiunga Magic FM, haijajulikana watakuwa kwenye kipindi gani lakini uwezekano mkubwa ni kupewa time slot ya saa saba hadi kumi jioni ambayo sasa hivi ina kipindi cha daladala beats.

Ansante kwa taarifa
 
Mkubwa neno Tetesi wewe unalichukulia poa! Kwahyo Hata mie nikianzisha sredi nikianza na Tetesi:Obama anataka kugombea urais Tanzania 2015 kupit ia CHAUMA itakuwa imekaa poa?

hilo neno tetesi kaliandika upande gani?
 
What appears to be the end, some time is the really new beginning.

All the best Comrads
 
Mkubwa neno Tetesi wewe unalichukulia poa! Kwahyo Hata mie nikianzisha sredi nikianza na Tetesi:Obama anataka kugombea urais Tanzania 2015 kupitia CHAUMA itakuwa imekaa poa?

Kuna mifano hai na mifano mfu, wako ni MFU.
 
Nimeangalia page ya reuben ndege kaandika "b12 adam mchovu na f etty magic on fm station (nadhani sasa nimeeleweka lol)" nimeona maneno hayo on facebook. Sasa natangaza kuichukia clouds fm rasmi toka moyoni
 
Habari ni kuwa baada ya Clouds kuwasimamisha kazi hawa jamaa watatu waliokuwa kwenye kipindi cha XXL sasa wamejiunga Magic FM, haijajulikana watakuwa kwenye kipindi gani lakini uwezekano mkubwa ni kupewa time slot ya saa saba hadi kumi jioni ambayo sasa hivi ina kipindi cha daladala beats.

Hawana jipya,waende tu!
 
Back
Top Bottom