Smart codetz
Senior Member
- Jan 25, 2023
- 191
- 753
Mpaka sasa Mimi ni Mchezaji wa Yanga na nafasi kubwa zaidi nawapa Yanga, namwamini Rais wa Yanga @caamil_88 yeye ndie amenileta hapa, tuna makubaliano yetu mimi na yeye kuwa Yanga inapaswa kucheza fainali ya Afrika na tutwae kikombe, hiyo ndio ndoto yangu na ikitokea tumecheza fainali na kubeba ubingwa nitamfuata Rais kumwomba baraka zake ili niondoke zangu, ila kwasasa bado malengo yangu na Yanga hayajatimia mpaka tucheze fainali ya Afrika”
- Stephen Aziz Ki wa Yanga, akijibu swali la Mwandishi Zainab Mohamed wa @TvAyoma kama atasalia Yanga msimu ujao.
- Stephen Aziz Ki wa Yanga, akijibu swali la Mwandishi Zainab Mohamed wa @TvAyoma kama atasalia Yanga msimu ujao.