Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,741
- 14,928
Anamkimbia KIBU D naskia mmemsajili kwa Bilion 1 unusu
Hana muda, ulimwengu wa sasa wa soka huwezi kukwepa kuuza mchezaji boraMimi Diarra tu ndio ataniuma akiondoka, wengine wote kila la kheri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wachezaji wapo wengi tena wazuri kuzidi yeye
Awasalimie aendako, majini yetu atuachie..!