Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,535
- 8,620
kwa kuwa jakaya mrisho kikwete ni RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA..
Kwa kuwa moja ya jukumu letu kama taifa ni kujenga uhusiano mwema ,na marafiki duniani kote...
kwa kuwa moja ya ahadi za rais ni kujenga mahusiano hayo ..na kunufaika na vyombo mbali mbali vya kifedha na mikataba ya kibiashara ikiwemo utalii..na mingine.
kwa kuwa rais kikwete ameshafanya ziara nyingi sana marekani...tukitarajia matunda ikiwemo ziara hii na mikutano kama LEON H SULLIVAN
KWA KUWA MAREKANI NDIO UCHUMI WENYE NGUVU DUNIANI..
KWA KUWA RAIS WA MAREKANI HAJAPATA KUFANYA ZIARA YA KITAIFA TANZANIA...NA IKIJULIKANA KUWA NI NADRA KUKAA KWENYE NCHI MOJA MASIKINI [LAKINI TAJIRI IN RESOURCES] KAMA TANZANIA...
KWA KUWA TUNATAMBUA UJIO WAKE UTAPELEKEA KUJIONGEZEA NAFASI NA FURSA ZAIDI KIBIASHARA...
kwa kuwa hapa JAMBO FORUM ..lengo letu ni kumkosoa RAIS na kumsifia pale anapofanya vema ..pamoja naserikali yeke yote
NAOMBA KUWASILISHA HOJA KUWA SASA BUNGE LAKO LA WATANZANIA WA KWELI NA WENYE UCHUNGU WA NCHI ...JAMBO FORUM...likubali kutoa AZIMIO LA KUMPONGEZA MUHESHIMIWA RAIS JAKAYA HALFAN MRISHO KIKWETE AMIRI JESHI MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA..KWA UGENI HUU MZITO WA RAIS GEORGE WALKER BUSH..jr...RAIS WA MAREKANI

Acha unafiki mzee!
Kwa upande mmoja unakuja na habari za majungu kwamba JK nae alishiriki kwenye kashfa ya Richmond kwa upande mwingine unahimiza watu wampongeze!
Ukisikia unafiki ndio huo, vipi tumpongeze mtu unaetaka tuamini ni fisadi!

Wakati huo huo, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limesema kutokana na ziara ya rais huyo, baadhi ya barabara zitafungwa ili kudhibiti hali ya usalama.
Tibaigana alisema, kesho Barabara ya Sokoine, Lithuli, Ocean, Kivukoni, Gerezani, Nyerere hadi makutano ya Kawawa na Uhuru hadi Old Bagamoyo zitafungwa.
Aidha, alitaja barabara nyingine zitakazofungwa kuanzia kesho mchana na watumiaji wake kutakiwa kutafuta njia mbadala kuwa ni ya Ali Hassan Mwinyi, Ocean, Lithuli na Sokoine.
Kamishna huyo alibainisha kuwa, Jumatatu Barabara ya Sokoine, Ohio, Kivukoni, Gerezani na Nyerere hadi makutano ya Pugu zitafungwa saa za asubuhi na jioni.
Alisema, siku ya mwisho ya ziara yake, Barabara ya Sokoine kupitia Kivukoni, Gerezani na Nyerere hadi makutano ya Pugu, zitafungwa saa za asubuhi na kuwalazimu watumiaji wake kutafuta njia nyingine.
Kama mtakavyoona, barabara hizo zitafungwa kwa hiyo ni vema wananchi wanaotumia vyombo vya usafiri kupita kwenye barabara mbadala ili kuepuka usumbufu, alisema Kamishna Tibaigana.
Hivi JF ishakuwa Bunge? makubwa haya.....
ulikuwa hujui sheikh..kwani hayo ya richmond yalianzia wapi....jione kuwa ni mbunge ..kasoro posho hupati....tembea kifua mbele...
nungunungu ..unajua hapa jf ...hatuna unafiki na mimi si mnafiki..hapa ni kupiga mawee tu...lakini kama mtu akifanya jema tunasema....this is just the praize of best side of him...
kesho akichemka hatutamuacha!!!!!
Hivi JF ishakuwa Bunge? makubwa haya.....
Hivi JF ishakuwa Bunge? makubwa haya.....
Sasa wewe ndio spika?
Amemwambia aache wizi!He praised the Tanzanian leader and said he was happy to sign the pact.
"I'll just put it bluntly, America doesn't want to spend money on people who steal the money from the people," Bush said. "We like dealing with honest people, and compassionate people. We want our money to go to help human condition and to lift human lives as well as fighting corruption in marketplace economies."