Azimio La Kumpongeza Rais Jk..kwa Ziara Ya Bush..

.....unajua pamoja na kuwa muungwana anakosea katika mengi..LAZIMA KWA HILI TUMPONGEZE ..AMEUTUMIA USANII WAKE VEMA ..kwa kifupi ziara zake za marekani si haba..mnajua watu wa hali ya chini ndio wanajua machungu ya MALARIA..UKIMWI NA MAYATIMA...ni makubwa mnu na kwa kiasi fulani kuwepo kwa ARV kunasaidia watoto wengi ambao wangeachwa yatima wa miaka 9..angalau kuweza kuishi na wazazi wao hadi wanafika miaka 20....katika kipindi hicho wanakuwa na uwezo wa kujitegemea..na pia inasaidia loss of human resource kupungua makali..unajua vifo vinavyookolewa ni vya WALIMU.,POLISI,ASKARI,WAHASIBU,WAKULIMA ets..kuishi kwao kunawapa fursa vijana kukua na kuja kuchukua majukumu...na pia kuwapa fursa waajiri wao kuandaa succession programme ...pale anapojua anaye mtaalamu wa kutegemewa ambaye ni muathirika..

ni kutokana na umuhimu wa msaada uliokuja kuwagusa watu wa tabaka la chini ndio maana nimeamua kumpa kudos...

pia natambua hofu ya kila mmoja kuhusu ishue ya AFRICOM....nimeona hata salva leo amekuwa makini ili swali ilo lisiulizwe..kwani waandishi waliouliza maswali alikuwa amewaandaa[si sawa..wangenyoosha vidole wachaguliwe]...upande wa marekani waandishi wao hawakuwa wakisomwa majiina bali walinyoosha vidole..najua kuwa rais anajua hisia za wananchi HAWATAKI BASE HAPA!!!..HATA MAKAMANDA WANAJESHI WALISHATOA TAARIFA RASMI KUSEMA HAWATAKI AFRICOM HAPA ..ITALETA INSTABILITY.....tunamshukuru sana bush lakini nadhani wanajua kuwa dhamani ya uhuru wetu sio MILLENIUM CHALLANGE FUND...NAFURAHI KUWA WAMETUSAIDIA WAKIJUA HILO NA WAKITUONEA HURUMA KWA VIFO VYA MALARIA,UKIMWI,CHOLERA[POOR SANITATION DESEASES]...NA MIUNDO MBINU MIBOVU

KARIBU BUSH NA AHSANTE....NA HONGERA KIKWETE KWA HILI!!!!
 
Hata mimi bado inanipa taabu- of 7 days in Africa kwa nini Bush aspend 4 days in Tanzania? Tanzania imemkuna nini Bush?

Kwa kweli JK hata mimi nampongeza.. haina haja ya kulaumu kila kitu! Call a spade a spade and not a big spoon!
 
Hadi hivi sasa ni usanii tu maana pesa tuliyoibiwa ni nyingi kuliko inayorudi. Hizo $ 4 kwa kila mbongo kwa mwaka bado ni kitendawili.
 
Siamini ninapoona maandishi ya watu ambao nawaamini kwa kufikiri na kuona mbali hapa JF wakishabikia kumpongeza JK. Sawa amesafiri mara nyingi US, sawa labda ziara ya bush italeta mafanikio makubwa tu bila madhara. Pamoja na yote inabidi JK apongezwe? Kwa nini kila kiongozi akifanya jambo lazima apongezwe? Hivi ni shughuli zipi za kazi za viongozi (pamoja na JK) ni kazi zao na sio ziada inayostahili pongezi. Hebu tusianze kujisahau mgeni akiondoka tu tunarudia palepale ni RICHMOND, EPA BUZWAGI etc etc, acha acheke tu siku hizi nne.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom