Azimio La Kumpongeza Rais Jk..kwa Ziara Ya Bush.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Azimio La Kumpongeza Rais Jk..kwa Ziara Ya Bush..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Phillemon Mikael, Feb 16, 2008.

 1. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #1
  Feb 16, 2008
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,427
  Trophy Points: 280
  kwa kuwa jakaya mrisho kikwete ni RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA..

  Kwa kuwa moja ya jukumu letu kama taifa ni kujenga uhusiano mwema ,na marafiki duniani kote...

  kwa kuwa moja ya ahadi za rais ni kujenga mahusiano hayo ..na kunufaika na vyombo mbali mbali vya kifedha na mikataba ya kibiashara ikiwemo utalii..na mingine.

  kwa kuwa rais kikwete ameshafanya ziara nyingi sana marekani...tukitarajia matunda ikiwemo ziara hii na mikutano kama LEON H SULLIVAN

  KWA KUWA MAREKANI NDIO UCHUMI WENYE NGUVU DUNIANI..

  KWA KUWA RAIS WA MAREKANI HAJAPATA KUFANYA ZIARA YA KITAIFA TANZANIA...NA IKIJULIKANA KUWA NI NADRA KUKAA KWENYE NCHI MOJA MASIKINI [LAKINI TAJIRI IN RESOURCES] KAMA TANZANIA...

  KWA KUWA TUNATAMBUA UJIO WAKE UTAPELEKEA KUJIONGEZEA NAFASI NA FURSA ZAIDI KIBIASHARA...

  kwa kuwa hapa JAMBO FORUM ..lengo letu ni kumkosoa RAIS na kumsifia pale anapofanya vema ..pamoja naserikali yeke yote

  NAOMBA KUWASILISHA HOJA KUWA SASA BUNGE LAKO LA WATANZANIA WA KWELI NA WENYE UCHUNGU WA NCHI ...JAMBO FORUM...likubali kutoa AZIMIO LA KUMPONGEZA MUHESHIMIWA RAIS JAKAYA HALFAN MRISHO KIKWETE AMIRI JESHI MKUU WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA..KWA UGENI HUU MZITO WA RAIS GEORGE WALKER BUSH..jr...RAIS WA MAREKANI
   
 2. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2008
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 6,591
  Likes Received: 6,755
  Trophy Points: 280
  yaani tumetembelewa na Bush tumpongeze Kikwete?. hebu tafadhali fafanua hii equation.
   
 3. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2008
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ..tumpongeze au tujipongeze? watanzania wote,that is.
   
 4. K

  Kasana JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2008
  Joined: Apr 3, 2007
  Messages: 413
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mimi ninauchungu na nchi lakini sioni sababu ya kumpongeza mkuu wa kaya kwa ujio huu wa mkuu wa ulimwengu.
  Bush ana lengo lake (??:D) linalomleta, na sisi tuna madhumuniyetu ya kuupokea huu ugeni (bakuli letu la ombaomba).
   
 5. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Na iwe hivyo....
   
 6. Nungunungu

  Nungunungu JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2008
  Joined: Feb 13, 2007
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha unafiki mzee!

  Kwa upande mmoja unakuja na habari za majungu kwamba JK nae alishiriki kwenye kashfa ya Richmond kwa upande mwingine unahimiza watu wampongeze!

  Ukisikia unafiki ndio huo, vipi tumpongeze mtu unaetaka tuamini ni fisadi!
   
 7. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #7
  Feb 16, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135

  no si mnafiki kabisa yuko pale pale kwenye msitari na hoja alioisimamia.

  yeye kuleta hii mada na kuiiangalia vyema si lengo lake kumpongeza JK bali kuna mambo alitaka tuyaangalie na kutuonyesha JK ni mtu anae penda kupongezwa. ndzni yake mna mengi sana


  ila ukweli JK tunakupngeza kwa mengi ni ww Rais pekee hadi sasa Tanzania ambae unajitahidi kuwa muwazi na kujituma kwa taifa hili na tunakupongeza kwa juhudi zako nyingi za karibuni, usiwaonee haya wale wote wenye kulileta majanga taifa letu hata awe rafiki yako wa damu

  pia hizo pesa tunazoomba jitahidi hao manyang'au wasijinufaishe peke yao na watanzania kuambulia kukesha barabarani kumfaurahisha anaetugaia hivyo vijisenti
   
 8. M

  Masatu JF-Expert Member

  #8
  Feb 16, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hivi JF ishakuwa Bunge? makubwa haya.....
   
 9. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #9
  Feb 16, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  NUGGA PLEEEEEEEEZ
   
 10. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #10
  Feb 16, 2008
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,427
  Trophy Points: 280

  nungunungu ..unajua hapa jf ...hatuna unafiki na mimi si mnafiki..hapa ni kupiga mawee tu...lakini kama mtu akifanya jema tunasema....this is just the praize of best side of him...

  kesho akichemka hatutamuacha!!!!!
   
 11. K

  Kasana JF-Expert Member

  #11
  Feb 16, 2008
  Joined: Apr 3, 2007
  Messages: 413
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Poleni wakazi wa Dar,
  Hivi kuna njia mbadala ya kutoka gongo la mboto/pugu kwenda katikati ya jiji? au siku atakayoondoka itakuwa 'half day?'makazini.

  Sorce: Tanzania daima
   
 12. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #12
  Feb 16, 2008
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,427
  Trophy Points: 280

  ulikuwa hujui sheikh..kwani hayo ya richmond yalianzia wapi....jione kuwa ni mbunge ..kasoro posho hupati....tembea kifua mbele...
   
 13. M

  Masatu JF-Expert Member

  #13
  Feb 16, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sasa wewe ndio spika?
   
 14. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #14
  Feb 16, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 15. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #15
  Feb 16, 2008
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,427
  Trophy Points: 280
  masatu...spika wetu ni invisible.....au MOD....CHIEF WHIP..WEWE....!

  MIMI NITAKUWA BURSAR..TEH TEH...PAMOJA NA KUWA HAKUNA PESA ZA KUGAWA..
   
 16. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #16
  Feb 16, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 17. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #17
  Feb 16, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  ....Unaulizia jamvi mazikoni?
   
 18. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #18
  Feb 17, 2008
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  hapongezwi mtu hapa. Kwa Marekani Bush ni failure, ni icon of violence, oppression, arrogance na wizi wa kura, alimwibia kura Allan Gore. Huyu si mtu aliyetakiwa kuja Tanzania, yeye ni alama ya uovu. Amekuja kufanya nini? Kwanza ujiuo wake unaweza kufanya baadhi ya watu wasahau machungu tuliyonayo ya kuibiwa hela zetu kwa mikataba ya Richmond, EPA etc.
  Go home George!
   
 19. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #19
  Feb 17, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  Toa hoja, acha vitisho hapa hiii Jf inawweza kuwa anything depending na anayepelekewa message atakavyoamua, na sio lazima tuwe bunge hapa kumtwanga Lowassa, mpaka akajibu mapigo ya JF kutoka kwa MMJ, Hapa ni mawe JF style, hatuhitaji bunge mkuu kufikisha ujumbe kwa viongozi, msitutishe na bunge lililolala usingizi ambalo ndio kwanza lionajaribu kuamka! Mkuu PM hoja yako inajadilika, na haki yako kuanziasha thread inaheshimika hapa JF,

  tusichotaka ni vitisho uchwara, vimemshinda lowassa hivyo na wewe utaondoka hapa kama yeye bila kufukuzwa!
   
 20. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #20
  Feb 17, 2008
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Hivi kweli leo hii tunasema apongezwe Muungwana baada ya kuchemka vibaya.
  Kuja kwa Bush si mafanikio yake FYI Clinton alikuja August 2000 kabla hajaachia ngazi ditto for Bush.
  Pili naomba ni weke quotation hii ya BUsh ambayo ni kwamba amembipu Kikwete (source: Yahoo.com news)
  Amemwambia aache wizi!
  Kuhusu Sullivan summit naomba utafute thread yangu uone ni jinsi gani alivyokubali Muungwana kuuza nchi eti kwa ajili ya kupewa tuzo zisizo za maana na kutumbuizwa na BOyz 2 men.

  hastahili na hapewi pongezi zozote huyo Rais wenu! (I didn't vote for him!)
   
Loading...