- Nia na madhumuni ilikuwa ni kujenga taifa la ki-Socialism ambalo sasa sio tena, sasa please help me unajadili nini hasa hapo worthy kwa taifa letu la leo?
Nia na madhumuni bado ni kujenga Taifa la Ki-socialism. Tulikuwa kwenye kipindi cha mpito ambacho Mwinyi na Mkapa wamekubali kuwa kimetulostisha. Katiba yetu (Toleo la 2005) inalitambua hilo - kuwa tuko kwenye kipindi cha mpito kuelekea kuwa Jamii ya Kijamaa:
KWA HIYO, BASI, KATIBA HII IMETUNGWA NA BUNGE MAALUM LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, kwa niaba ya Wananchi, kwa madhumuni ya kujenga jamii kama hiyo, na pia kwa ajili ya kuhakikisha kwamba Tanzania inaongozwa na Serikali yenye kufuata misingi ya demokrasia, ujamaa na isiyokuwa na dini.
Madaraka Nyerere, the son of the former President of Tanzania, Julius Nyerere, talks to Adam Ma'anit from the New Internationalist for Pambazuka News.
Madaraka Nyerere was in London to re-launch the Arusha Declaration, the document which is the foundation of socialist principles practiced by Nyerere's government, with the Global Women's Strike.
Madaraka explores the reasons why Nyerere's policies have been demolished by capitalism, and the relevance of his father's work for modern Africa and the women's rights movement.
Kwa maoni yangu binafsi Azimio la Arusha was a piece of crap. Halikufaa 1967, hafai leo na miaka inayokuja.
Baada ya kupata uhuru, baadhi ya viongozi wa Afrika : Sekou Toure, Nyerere, Kwame, walijiingiza kwenye utungaji wa miongozo kwa kuiga Urusi na Wachina.
Lakini kazi zao zote zilikuwa impractical na ziliacha nchi zao masikini kuliko walivyozikuta.
Azimio la Arusha ni kitabu cha ideology ya chama cha siasa. Na mpaka sasa Tanzania sio nchi ya kuongozwa kwa ideology. Hivyo basi hakuna kinachofaa kutoka kwenye azimio hilo kwa sababu watanzania ni watu wenye ideologies na imani tofauti.
Kinacho tuunganisha watanzania ni katiba ya nchi. Hivyo katiba ilekebishwe kujibu mapungufu yanayojitokeza sasa.
What is true in Arusha Declaration is not new and what is new in Arusha Declaration is not true.
Acha kuungopea Umma. Azimio lilikuwa la Asili (Original). Hebu msikilize Mkongwe CLR James ambaye alikuwa ameushiba Umarxist wa huko Urusi na Uchina anavyoelezea u-orijinality wa hili Azimio linalostahili kutumika leo:
Such a resolution would probably exclude 90 percent of those who govern and administer in other parts of the world, developed or under-developed...The Government aims at creating a new type of society, based not on Western theories but on the concrete circumstances of African life and its historic past. Perhaps the most revolutionary change of all, it will reconstruct the very system of education...The simplicity with which Dr. Nyerere states what his government proposes to do disguises the fact that not in Plato or Aristotle, Rousseau or Karl Marx will you find such radical, such revolutionary departure from the established education order...Perhaps nothing shows more clearly the radical, the revolutionary, the complete break with Western habits and Western thought than the new attitude to the Tanzania farmer...This is something new in the history of political thought...
In a conversation with Dr. Nyerere, the present writer (having previously read his writings) drew his attention to this particular passage from Lenin and what Lenin was striving to teach as far back as 1923. The African leader said he did not know it - he had arrived at his conclusion by himself and his people.
Source: CLR James' A History of Pan-African Revolt
Azimio la Arusha ni pure crap. Matatizo yako ni kuwa ujalisoma mpaka mwisho na kuelewa implications zake katika maisha yako.
Kutokana na viongozi wengi kukiuka maadili ya uongozi, watu wanaona kuwa Azimio la Arusha ni silaha ya kuweka sawa maadili ya uongozi. Lakini ukweli wa mambo, Azimio linagusa mambo mengi yakiwemo ya kiuchumi ambayo hayatumii principal za uchumi. Hivyo basi kutokana na matatizo ya kiuchumi yanayokabili jamii za kiAfrika, utakuwa na machaguo mawili tu. Utumie sehemu ya azimio hilo au tafuta something new.
Ngoja nikupe mifano. Kwa maneno ya Chifu Kunambi. Anasema kuwa safari ya Nyerere UNO ilichangiwa na wananchi. Na kabla ya safari pesa zilikuwa hazitoshi. Rupia ikabidi akate pesa na akaonekana shujaa.
Azimio la Arusha lilipotangazwa, mmoja wa watu wa mwanzo kuona athari zake alikuwa Rupia kwa sababu mali zake zilikuwa tayari ni unyonyaji.
Mwamwindi tayari alikuwa ni mwekezaji mzawa ambao kwa sasa hivi watu kama hao tunawatafuta kuwekeza kwenye kilimo.
Moja ya matunda ya ujamaa ni benki za umma. Nyerere alikopa pesa kujenga nyumba yake ya Msasani. Na kwa maneno yake mwenyewe alishindwa kulipa. Kama rais wa nchi anashindwa kutumia Azimio la nchi kujiendeleza ni nani anayeweza ?
Sawa nimekusikia, lakini kwani tunachosema hapa ni nini? ni hivi: Taifa letu kwa sasa halina mwelekeo/dira kama ilivyokuwa kipindi cha Azimio, tuko kizani karibu kabisa na tundu la choo!
Hivyo basi ni bora tungelifufua na kuli-debate Azimio letu ili tuondoe vile vipengele ambavyo haviendani na wakati na pia kuongeza vipengele vingine tutakavyo viona vinafaa.
Faida yake ni kuwa sote kwa pamoja kama taifa tutakuwa tunatambua tunaelekea wapi. Mfano mmoja ni nchi kama ya China ambayo wame-rekebisha baadhi ya vipengele vilivyowekwa na akina cheamani Mao na bado wanadunda mzigo vizuri tu na wote tunaona mafanikio yao kiuchumi, kiteknologia na kijeshi n.k.
Yesterday, 10:31 AM
5 February 1967 The Arusha Declaration Written: for Tanganyika African National Union by Julius Nyerere, 1967;
The Arusha Declaration and TANUs Policy on Socialism and Self-Reliance
- Mkuu naona usome tena hapo juu, ni quote mbili moja ya Mkulu PM, ambayo inasema wazi the author wa Azimio ni nani, halafu soma pumba zako hapo chini,
- Azimio lingekuwa sio la Mwalimu, basi walioshirkiana naye kuliweka wangejitokeza lilipokuwa likivunjwa kule Zanzibar, au lingekuwepo mpaka leo tatizo ni wewe na chuki zako binafsi na hoja zangu ambazo huwa zinakubana sana mbavu, umejaribu sana kubadili IDs, lakini inapokuja kwenye context umeshindwa ni lazima uonyeshe chuki zako na siku zote huwa ni bila hoja,
- Kuna mazuri ya Mwalimu huwa ninayakubali, lakini un-fortunately mengi ya Mwalimu pamoja na kwamba ninakubali kwamba alikuwa ni the greatest ever huwa ni mabaya sana na ndiyo yanayotutesa hili taifa mpaka leo, Mwalimu alitakiwa kusimamia sheria kwa taifa kwanza sio haya mambo ya Azimio na CCM. Mwalimu alikuwa na one best skill nayo ni alikuwa ana-command respect ya wananchi na viongozi wote aliowachagua, lakini akashindwa kuitumia kukazania utawala wa kuheshimu sheria,
- Ndio matokeo ikawa maazimio mengi yasiyotekelezeka, badala ya simply kusimamia sheria, taifa letu leo linateketea kutokana na kukosa kuheshimu sheria sio kukosekana kwa maazimio ya CCM. Sasa tumeruhusu NEC ya CCM kuamua kama Lowassa na mafisadi wenzake wana makosa kisheria au hawana, badala ya Mwanasheria Mkuu wa serikali kuamua through mahakama,
- anytime unapo-promote Azimio, unali-promote over mgongo wa sheria zetu za jamhuri, huwezi kufanikiwa ndio maana Mwalimu alikwama nalo hilo Azimio, sasa love me or hate me huu ni ukweli huwezi kuubadili, simamia sheria utaona kama kuna atakayekumbuka ya Azimio, punguza obssession na FMES mkuu, imeshakufikisha pabaya tayari, jaribu kutoa hoja za kulisaidia taifa, mimi nilishaamuka siku nyingi sihitaji kuamushwa na wewe!
Haya wee kama unajiridhishia kuwa mwalimu aliliandika hilo Azimio peke yake. Lakini suala nyeti bado liko palepale, hapa tunajadili ni mambo gani yanayotakiwa kurekebishwa katika Azimio letu ili liendane na wakati tuliopo. Nchi yetu kwa sasa haina mwelekeo kabisa.
Sheria bila mwongozo ni bure, lazima nchi iwe na mwongozo wake ambao ndio utakuwa msingi wa sheria unazozingumza. Nafkiri Mkandara amelisisitiza hilo labda utamwelewa yeye zaidi.
Na kuhusu mambo ya kuku-hate nadhani sasa huko mimi siko kabisaaa na pia sijawahi kubadilisha ID yangu katika forum yeyote ile.

- Mkuu ni vigumu sana kujadili na mtu mmoja anayebadilika kama kinyonga kila wakati, kwa hiyo I am out of this thread! Nilifikiri sasa tumekua kumbe bado yale yale!
- Ndio maana mara kwa mara huwa tunakuachia uanaandika na kujijibu, sijui inakusaidia nini mkuu, haya you can have it hii thread, endelea kuandika na kujijibu!
"...Kama hukubali hilo, yaani kama unadhani watu wengine ni miungu wengine, malaika, wengine nusu-nyani, basi hukubali ujamaa. Ujamaa kwako hauna maana, kwa sababu ujamaa unahusu usawa wa watu: hapo ndipo unapoanza...Sisemi usawa wa urefu wala ufupi; kwa urefu namzidi Kawawa, sana tena. Sisemi maguvu, hata; nasema utu, watu, na ubinadamu wao. Kuna binadamu zaidi ya mwenziwe? Kama huliamini hilo, utakuwa mjamaa? Hilo la kwanza... mkaliulize-ulize, mlielewe maana yake. Na mtu anayepinga ujamaa naye ajiulize kama anapinga hilo nalo. Mtu mpingaji ujamaa aseme, 'Hilo nalo, usawa wa watu, napinga; kwamba binadamu wote hivi si sawa'" - Mwalimu Julius K. Nyerere
2. 'LAZIMA MTU AFANYE KAZI'
"...Binadamu hao unaotuona hapa, na hao waliosambaa dunia nzima wanaishi kwa kazi. Hawana namna nyingine ya kuishi. Wakiacha kufanya kazi watakufa; hawana namna nyingine; kuishi kwao, na kuendelea kuishi, lazima wafanye kazi...Lakini binadamu haishi kama farasi. Binadamu haridhiki kuishi kama farasi au punda; binadamu ana kitu anakiita maendeleo; lazima aendelee...Wakati mwingine ili kusudi maendeleo haya yaje wana shughuli za kupigana misasa akili, wanapanuana mawazo tu, nayo ni kazi...nendeni mkaulizane...kama kazi si kitu cha lazima, kama binadamu anaweza kujikalia tu hafanyi kazi, akaishi, na maendeleo yakaja bila kazi. Na huyo anayepinga ujamaa naye ajiulize kama hilo analipinga? Na hilo la kufanya kazi analipinga au kuna jingine analopinga?" - Julius K. Nyerere
3. 'HAKUNA MTU KUMNYONYA MTU'
"...Kama binadamu ni sawa, tunalikubali hilo...Pili tunasema kitu kazi ni jambo la lazima kwa kila mtu, hakuna aliyesamehewa kazi. Basi siwezi kukufanyia kazi. Kukufanyia kazi maana yake ni kwamba wewe unasamehewa kazi! Siwezi kukufanyia kazi. Wewe utafanya kazi, na mimi nitafanya. Sio mimi nifanye, wewe hufanyi; lazima ufanye kazi. Kwa hiyo wewe utafanya kazi, na mimi nitafanya kazi; kila mtu atafanya kazi. Yaani namna ya kulitamka hilo ni kwamba kunyonyana hakuna. Hakuna mtu kumnyonya mtu; sasa tena msingi wa kumnyonya unatoka wapi? Tumesema watu sawa; na mtu ili aishi hana budi afanye kazi, na kazi ndio msingi wa maendeleo. Sasa mwanachama... ajiulize kama anaweza kuwa mjamaa na huku ananyonya! Unamnyonya mkeo; mkeo anakwenda kufanya kazi wewe unakwenda kupiga chibuku; hivi kweli mjamaa wewe? Tunasema kazi jambo la lazima, lakini wewe hufanyi kazi, unamnyonya mkeo. Wewe mjamaa? Nasema na hilo mjiulize...Unaweza kuwa mjamaa na huku unanyonya? Na anayepinga ujamaa ajiulize hilo nalo analipinga, kwamba yeye anaona kunyonya ni sawa tu! Sawa yeye kunyonya mwingine au wengine kumnyonya yeye, huyu anayesema kunyonya ni sawa. Kama kunyonya ni sawa baba, sasa tuanze kunyonya, au mkuki kwa nguruwe?" - Julius K. Nyerere
4. 'VYOMBO MUHIMU VIMILIKIWE PAMOJA'
"...Kama watu ni sawa; binadamu wote ni sawa; kazi ni jambo la lazima kabisa; kunyonya ni haramu; la nne linafuata: Vyombo vyote vya lazima, vinavyohitajika kwa maisha ya binadamu kwa kufanyia kazi lazima vimilikiwe kwa jumla. Ardhi lazima imilikiwe kwa jumla maana tusipoimiliki ardhi kwa jumla tutamwachia Rashidi Kawawa na Sheikh Karume wao wawe ndio wenye ardhi, na ardhi ni kitu cha lazima kwa maisha, hebu tuone kwanza usawa utakuwaje. Itakuwa lazima twende kwa Rashidi na kwa Karume, 'tafadhali bwana nataka ardhi'. Umekwishamwita 'Bwana' huyu; usawa umekwisha. Lakini vilevile kama Sheikh Kawawa ana ardhi, na Sheikh Karume ana ardhi, hawa hawalazimiki kufanya kazi. Kwa nini wafanye kazi? Hawawezi kufanya kazi. Tumesema kazi ni kitu cha lazima kwa kila mtu, lakini hawa hawawezi kufanya kazi, watakaa tu wanatutoza kodi kwa ardhi yao. Ndiyo wanatunyonya hivyo tena. Mimi nafanya kazi; mimi nalima. Halafu Rashidi anasema, 'Ukishalima mahindi ukapata magunia matano, moja langu'. Ndio ananyonya hivyo. Anavunja kanuni ya usawa; anavunja kanuni ya kazi; anavunja kanuni ya kutonyonya. Kwa nini? Kwa sababu tumemruhusu amiliki yeye vitu ambavyo vinastahili viwe vya wote. Mtu ambaye yeye ana ardhi; umemkabidhi viwanda, ukishakuwa umemkabidhi majambo mengine haya, umemwongezea nguvu zake, yeye utu wake umeongezeka-ongezeka na wangu mimi umeupunguza-punguza. Kwa hiyo vitu vilivyo vya lazima kwa kila mtu, kama ardhi ambayo ni ya lazima kwa kila mtu, lazima vimilikiwe na wote. Sasa...mjiulize kama unaweza kuwa mjamaa kweli huku unajidai ardhi yangu? Na wanaopinga wanatakaje? Hao wanaosema ujamaa mbaya. 'Eti vitu vyote viwe vya ujumla'; wengine waongo, 'Eti wanasema hata wakina mama wawe wa jumla'. Tunasema ardhi, hatusemi kina mama, tunasema ardhi viwanda, madini: kwa nini mtu mmoja anakwenda kuvinyakua vikawa vyake hivi!" - Julius K. Nyerere
5. 'KUUNDA NCHI BILA MATABAKA'
"..Kama tunakubali kuwa watu wote ni sawa; na watu wote ni lazima wafanye kazi, mtu asimnyonye mtu; na mali, mali kubwa, sikusema shati langu liwe la Rashidi: misingi ya uchumi kama mabasi yale yanapita iwe kwamba tunasema mabasi yetu, asiweko mheshimiwa mmoja pale anasema 'Basi langu lile!' Basi lako! Yupo dereva mle anaendesha, anasema dereva wake! 'Dereva wangu' - dereva wako, wewe unaweza kuwa na dereva? Dereva anaweza kuwa dereva wa umma, sio dereva wako. Dereva ni sawa sawa na mwalimu; mwalimu wa umma, daktari wa umma, dereva wa umma. Huyu anakuwaje 'wako'? Hata askari siku moja utasema wako. Kama tunakubali watu wote ni sawa; watu wote lazima wafanye kazi, hakuna kunyonyana; mali,vitu vyote vile vya jumla lazima viwe vya umma; maana yake ndio kusema tunataka kuunda nchi ambayo haina tabaka: hakuna mabwana na watwana." - Julius K. Nyerere
NUKUU ZIMETOKA KWENYE UJAMAA NI IMANI: MOYO KABLA YA SILAHA, 1973: EAPH KINACHOPATIKANA KATIKA MAKTABA YA MTANDAO WA JINSIA TANZANIA (TGNP)
Mbona ujaacha kuboronga. Tanzania ni nchi kubwa na yenye watu wengi. Kama mnaona Azimio la Arusha linafaa, basi jikusanyenyi na anzisheni jumuia yenu na halafu muanze kuishi maisha kwa misingi ya Azimio la Arusha.
Mkifanikiwa, tusioamini tutajiunga. Lakini mpaka sasa jitihada zenu ni kutafuta converts wakati wenyewe hamuwezi kulitumia Azimio la Arusha.
Acha kuungopea Umma. Azimio lilikuwa la Asili (Original). Hebu msikilize Mkongwe CLR James ambaye alikuwa ameushiba Umarxist wa huko Urusi na Uchina anavyoelezea u-orijinality wa hili Azimio linalostahili kutumika leo:
Such a resolution would probably exclude 90 percent of those who govern and administer in other parts of the world, developed or under-developed...The Government aims at creating a new type of society, based not on Western theories but on the concrete circumstances of African life and its historic past. Perhaps the most revolutionary change of all, it will reconstruct the very system of education...The simplicity with which Dr. Nyerere states what his government proposes to do disguises the fact that not in Plato or Aristotle, Rousseau or Karl Marx will you find such radical, such revolutionary departure from the established education order...Perhaps nothing shows more clearly the radical, the revolutionary, the complete break with Western habits and Western thought than the new attitude to the Tanzania farmer...This is something new in the history of political thought...
In a conversation with Dr. Nyerere, the present writer (having previously read his writings) drew his attention to this particular passage from Lenin and what Lenin was striving to teach as far back as 1923. The African leader said he did not know it - he had arrived at his conclusion by himself and his people.
Source: CLR James' A History of Pan-African Revolt
Hebu acha upambe bana na wewe. Ni sisi tu Miafrika tunaopenda kuweka hizo herufi nyuma ya majina yetu hata kama hatustahili. Sidhani kama kwa vile tu wamekupa honorary degree basi na wewe au mifuasi yako i-abuse hiyo degree na kuanza kukuita kama vile unastahili kuitwa hivyo.

Siku hizi hata hao ma PhD wenyewe (non-honorary PhDs) wanaona uduanzi kuitwa Doctors outside of academia (where shishi @?), sembuse hawa wenye degree za kupewa? Mtu unaweza kujitia doctor watu wakakuletea mgonjwa anakufa, si doctor weye, mtibu sasa!
And I am talking about sophisticated people. We una ki-PhD chako cha Russian literature unakazania kuitwa "doctor" wakati hata kung'oa jino huwezi.
Hilo Azimio la Arusha ndiyo lishapata effct ya "genie out the bottle" watu washajua hela nzuri unafikiri unaweza kuwarudisha kwenye Azimio la Arusha tena?
Naona kuuliwa kwa Azimio la Arusha ilikuwa ni njama za viongozi walio jirimbikizia mali (Walizo iba baada ya Azimio la Arusha) waweze kula mali zao kwa nafasi bila kuulizwa...!
Hamna sababu ya kurudi nyuma. Azimio la Arusha was a failure. People are just trying to paint an old car but the model and the parts are still old. One of the things that take as backwards is that we don't embrace individualism. In every aspect of our society from the family unit to other parts like politics and business we still belive the notion of "Chako ni changu na changu ni chetu". Look at the "ukoo". When one person is wealthy the whole ukoo believes that it is their right and duty to spend that wealth too.
The only way we can move forward is by embrasing individualism and competion. When a person knows he has to make his own wealth he will work harder. Tuache kutegemeana. To me the Arusha Declaration belongs in the past.
As if that was not enough, the central tenets are self contradictory.
How can "Ujamaa" and "Kujitegemea" be mixed? the two are practically negative and positive, when you mix them they annihilate each other in a big puff, leaving you with zip, zero.
And then you wonder why are we so poor in the midst of abundance?
Naona kuuliwa kwa Azimio la Arusha ilikuwa ni njama za viongozi walio jirimbikizia mali (Walizo iba baada ya Azimio la Arusha) waweze kula mali zao kwa nafasi bila kuulizwa...!
Mkuu nakubaliana na wewe in some part. Kwamba labda kuuliwa kwa Azimio ilikua janja ya wachache. Lakini hata wakati wa ujamaa wenyewe kulikuwa na watu wenye maisha mazuri zaidi ya "common" people. Hata wakati huo kulikuwa na wenyewe uwezo zaidi. Hata siku moja binadamu wote hawawezi kuwa na hali sawa ya kimaisha na hilo ndilo lilikua kusudio kuu la Azimio.
Mbona ujaacha kuboronga. Tanzania ni nchi kubwa na yenye watu wengi. Kama mnaona Azimio la Arusha linafaa, basi jikusanyenyi na anzisheni jumuia yenu na halafu muanze kuishi maisha kwa misingi ya Azimio la Arusha.
Mkifanikiwa, tusioamini tutajiunga. Lakini mpaka sasa jitihada zenu ni kutafuta converts wakati wenyewe hamuwezi kulitumia Azimio la Arusha.
Mbona hili Azimio la Zanzibar ambalo ndio linatumika sasa hivi katika jumuiya hii ya Wadanganyika na lililozaa ufisadi limekushinda mpaka ukakimbia nchi yako mwenyewe?
As if that was not enough, the central tenets are self contradictory.
How can "Ujamaa" and "Kujitegemea" be mixed? the two are practically negative and positive, when you mix them they annihilate each other in a big puff, leaving you with zip, zero.
And then you wonder why are we so poor in the midst of abundance?
Even if your axiom was true, still the Azimio la Arusha's Ujamaa & Kujitegemea were only practiced (slightly) between 1967 and 1977 so how come the Azimio la Zanzibar's Ubinafsi & Kunyonya have been practiced for more than 10 years and yet we are so fisadily poor?
Hamna sababu ya kurudi nyuma. Azimio la Arusha was a failure. People are just trying to paint an old car but the model and the parts are still old. One of the things that take as backwards is that we don't embrace individualism. In every aspect of our society from the family unit to other parts like politics and business we still belive the notion of "Chako ni changu na changu ni chetu". Look at the "ukoo". When one person is wealthy the whole ukoo believes that it is their right and duty to spend that wealth too.
The only way we can move forward is by embrasing individualism and competion. When a person knows he has to make his own wealth he will work harder. Tuache kutegemeana. To me the Arusha Declaration belongs in the past.
Who said individualism and competition does not belong in the past? You are talking as if Adam Smith and his invisible hand is our contemporary! The past is always in the present!
P.S. In the context of the global financial crisis can you also say Keynesianism belongs in the past?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.