Ufunguo
JF-Expert Member
- Aug 18, 2012
- 330
- 231
Aisee. Kama kusoma huwezi hata picha huoni?. Hakuna mwenye ukakika hapa lakini kinachojadiliwa ni mazingira ya tukio. Uzalendo siyo kusifia tu ili mradi mkono wako unakwenda kinywani. Tumia ubongo wakokuna vijana humu wanataka tuwaamini wao zaidi kuliko mtekwaji.