Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 46,921
- 122,188
Kila mmoja wetu ana akili ya kuchakata mambo kwa namna yake.Politics aside, tuwe wakweli wa ktk nafsi zetu.
Hivi tangu lini unaona walinzi wa Ikulu wakiwa wana randaranda viunga vya Gymkhana kufanya doria ya ulinzi?
Pana mita ngapi pale kufika Ikulu?
Kwanini imekuwa lazima ionekane taasisi flani rasmi ndio ilimteka MO?
Hii ni kwa faida ya nani ulimwengu ukiamini hivyo?
Ni vyema kila mmoja atumie huo utashi wake katika kusherehekea hii movie.