Wewe jamaa huwa naangaliaga sana post zako nyingi huwa unatumia nguvu nyingi sana kuwaita UKAWA mafisadi,mara wezi kwani wamekuibia nini wewe binadamu?,Naomba nikuulize swali...HIVI KUNA MAFISADI KAMA HAWA APA??...NA NI WA CHAMA GANI???
●MAGUFULI-KASHIFA YA UUZWAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI MWAKA 2003 KWENYE REPORT YA CAG ALIPIGA BILLION.261
●CHENGE-RADA BILLION 46,ESCROW ALIPIGA BILLION 1.6
●TIBAIJUKA-ESCROW
●NGEREJA-ESCROW
●PROF.MUHONGO-ESCROW
●MWAKYEMBE-MABEHEWA YA TRENI 50 KWA BILLION.400 WAKATI YAMECHAKAA NA THAMANI YAKE NI BILLION.241 NYINGINE AMEKULA.
Sasa unapata wapi LEGITIMACY YA KUWAITA UKAWA MAFISADI WAKATI NYIE NDO MNAONGOZA???
NA KAMA HUKO KWENU CCM HAO MAFISADI NDO WAMEJAA KULIKO UKAWA WENYE FISADI MMOJA "EDWARD LOWASSA" KAMA MNAVYOKOMALIA,JE NI NANI ANASTAHILI KUCHUKUA NCHI KATI YA UKAWA AU CCM WENYE MAFISADI LUKUKI????
KAMA KWELI WEWE UNAITAKIA MEMA NCHI YETU TANZANIA...EBU NIJIBU AYO MASWALI HAPO JUU?????