Azaveli Lwaitama ajiunga CHADEMA rasmi

Azaveli Lwaitama ajiunga CHADEMA rasmi

Utawadanganya Hao Hao " Wapumbavu Na Malofa " Wenzako Watakaokuamini Humu JF Na Kwa Kukuumbua Tu Juzi Huyo Huyo Mzee Lwaitama Kaja Kufanyiwa Exclusive Interview Na Media X Iliyopo Nyuma Ya Hotel Ya Kebbys Na Alipomaliza Tu Akatuaga Na Kwenda Moja Kwa Moja Airport Ambako Tokea Juzi Hiyo Hadi Hivi Leo Mzee Lwaitama Yupo Jijini Nairobi Nchini Kenya Kwa Wenyeji University Of Kenyatta Na Anarudi Jumanne au Jumatano Ijayo Na Kama Utataka Uthibitisho Nikupe Namba Yake Anayoitumia Sasa Huko Kenya Alipo Nitafute Ktk PM Nitakupa Ujiridhishe. Endelea Tu KUWATANGULIZA MAPOPOMA Wenzako Humu ILA Binafsi NIMESHAKUDHARAU KULIKOTUKUKA.

Kama una bamba yake mpigie,alikuwa akitokea bukoba anakofundisha ktk chuo kikuu cha jokuko akapitia hapa kwny uzinduzi wa kampein ya mgombea ubunge dodoma mjini benson kigaira ambayo imezinduliwa leo rasmi ktk viwanja vya barafu
 
Kesho ndo anatua dar,kama kuna mtu ana namba yenye whatsapp anitumie nimrishie picha aiweke jamvini
 
umeambiwa utunge nsha??
ungesema tu lwaitama yuko nairobi unadhani usingeeleweka!!?

Mzoga wa lidubwana ccm umeanza kutoa harufu kali sijui mtalibebaje kadri siku zinavyosonga.

Nimemuumbua Vilivyo Huyo Mleta Mada Wenu Na Mwambieni Anibishie au Alete Tena Uwongo Kama Siyo Uzushi Wake Mwingine Wa Kumuhusu Dr. Azaveli Lwaitama Nimuumbue Tena. Anadhani JF Imejaa " Wapumbavu Na Malofa? ". Tupo Tunaojitambua Na Kujua Nini Kinaendelea Kila Sekunde, Dakika, Saa Na Siku Zote.
 
Amesema kuwa ktk ccm alikuwa mwanachama mfu sasa ameamua kujiunga rasmi chadema ili aweze kushiriki kikamilifu ktk ukombozi
 
Mwenye namba yenye whatsapp anitumie namba yake nimrushie picha ya lwaitama akiwa hapa dodoma wakti akijiunga rasmi chadema i leo
 
Tiba yenu atuwajibu.kwakua mnaongea pumba...wapumbavu ndio ngao ya ukawa.ukawa daima
 
Mwenye namba yenye whatsapp anitumie namba yake nimrushie picha ya lwaitama akiwa hapa dodoma wakti akijiunga rasmi chadema i leo

niwekee namba ya dr. kwa pm ili nimpigie tafadhali
 
Nimemuumbua Vilivyo Huyo Mleta Mada Wenu Na Mwambieni Anibishie au Alete Tena Uwongo Kama Siyo Uzushi Wake Mwingine Wa Kumuhusu Dr. Azaveli Lwaitama Nimuumbue Tena. Anadhani JF Imejaa " Wapumbavu Na Malofa? ". Tupo Tunaojitambua Na Kujua Nini Kinaendelea Kila Sekunde, Dakika, Saa Na Siku Zote.

Tulia dozi ikuingie
 
Dr yuko dodoma mda u,mpigieni atawaeleza wazi,huyo anayebisha kaweweseka
 
Attachments

  • IMG-20150830-WA0064.jpg
    IMG-20150830-WA0064.jpg
    150.6 KB · Views: 965
  • IMG-20150830-WA0063.jpg
    IMG-20150830-WA0063.jpg
    91.8 KB · Views: 936
Namfahamu,namkubali ni jembe na zana adimu katika siasa ya Tanzania!nakukubali mwalimu wangu wa PS 220 UDSM.
 
Back
Top Bottom