Azaveli Lwaitama ajiunga CHADEMA rasmi

Azaveli Lwaitama ajiunga CHADEMA rasmi

Kumbe kuna watu wana matatizo humu, Lwaitama alikuwepo Dodoma viwanja vya barafu. Na kabla hajaongea kigaira, yeye ndiye aliyetangulia kuongea.Kadi ya chama alikabidhiwa na kigaira.
 
Lwaitama ni miongoni mwa wasomi ambao hoja zao zinaheshimiwa kila mahali nchi,hapa dom hiyo chana wakti anatambulishwa rasmi umati mkubwa uliokuwepo kwenye mkutano ulizizima lwa shangwe kubwa wati wakiamiani wazi kuwa yametimia
 
Hata kama ni siasa, dharau za namna hii sio nzuri na sio ujanja..
Kanifundisha huyu mzee. Ni kati ya walimu wa hovyo kabisa niliowahi kufundishwa nao hapa duniani. Anajifanya anajua kila kitu. Zero respect from me na hana mchango wo wote mwacheni atange tange tu. As to you, tulia dawa ikuingie...teh teh teh...
 
Kumbe kuna watu wana matatizo humu, Lwaitama alikuwepo Dodoma viwanja vya barafu. Na kabla hajaongea kigaira, yeye ndiye aliyetangulia kuongea.Kadi ya chama alikabidhiwa na kigaira.

Mwanzo nilipoanzisha uzi u walikuwa wakimsifia na kubisha haswa,zilipotupiwa picha maruhani yakawapanda,dozi itawakaa hatahivyo
 
Pesa ina uwezo wa kila kitu inaweza kununua mtu na watu wake na wote wakaunga mkono dr slaa na mhe lipumba wana akili sana zaidi yetu wanajua wanafanya nn ila ss hatujui
 
Kanifundisha huyu mzee. Ni kati ya walimu wa hovyo kabisa niliowahi kufundishwa nao hapa duniani. Anajifanya anajua kila kitu. Zero respect from me na hana mchango wo wote mwacheni atange tange tu. As to you, tulia dawa ikuingie...teh teh teh...

Wewe ndio unalia lia nini sasa?yaani kuhama kutoka ccm kwenda cdm ndio kutangatanga,akihama kutoka cdm kwenda ccm basi huyo katumia busara?miccm mmechanganyikiwa kweli
 
Pesa ina uwezo wa kila kitu inaweza kununua mtu na watu wake na wote wakaunga mkono dr slaa na mhe lipumba wana akili sana zaidi yetu wanajua wanafanya nn ila ss hatujui
Maovu yote yanayofanyika nchi hii mchana kweupe,bado unaweza kujiona akili yako iko sawa?!! hebu rukaruka kama mara nne hivi labda dozi itakuingia vizuri akilini
 
Angesema ametoka cdm kwenda ccm mngesema ni jembe.kinyume chake mnamwona lofa.kuku kaharisha.sawa kazi yetu ni kuiondoa ccm tuu basi.
 
Huyo Amefanya jambo jema Uhuru wa mtu ni muhimu kwanini ukae kwenye minyororo? Tatizo watu hawajiamini. maisha yanaenda hata ukikataa kifurahi
 
Wewe ndio unalia lia nini sasa?yaani kuhama kutoka ccm kwenda cdm ndio kutangatanga,akihama kutoka cdm kwenda ccm basi huyo katumia busara?miccm mmechanganyikiwa kweli
Mimi sina tija katika chama cha siasa na sitegemei mwanasiasa eti aje anibadilishie maisha yangu. Wewe endelea kuamini kuwa eti kuna mwanasiasa atakuja akupe sijui ajira sijui nini. So hata kama angehama na kwenda mbinguni hainiathiri cho chote. By the way, huyu alikuwa ameshajitangaza kuwa ni mwanachama MFU wa CCM. Sijui kama hata unaelewa kuwa wafu hawana faida yoyote! Sad!
 
Mtu unapaswa kufanya jambo linalo furahisha nafsi yako ili kuondoa stress. Maisha yenyewe yanahesabika. Bravo
 
picha za dodoma Jana
 
Attachments

  • 1440997423040.jpg
    1440997423040.jpg
    123.7 KB · Views: 630
  • 1440997457442.jpg
    1440997457442.jpg
    71.7 KB · Views: 588
Mkuu, huyu jamaa kuna siku alijinadi anasoma PhD Marekani, kwa kweli kama taifa litakuwa na watu.wa aina hii basi mimi sina mpango na PhD.
Jamaa gani huyo? PhD yake inahusikaje hapa? Unaelewa hata maana ya PhD wewe?

Ngoja tumalizie uhuru wa habari leo kabla sheria ya makosa ya mtandao haijaanza. Kesho nitamsifia kila mtu including wanachama wafu waliohama vyama vyao na wanaorusha ad hominem observations kisa eti PhD.
 
Back
Top Bottom