Azaveli Lwaitama ajiunga CHADEMA rasmi

Azaveli Lwaitama ajiunga CHADEMA rasmi

just because saa ya mabadiliko imeshawadia. Viva Dr Lwaitama
 
Mbona wakuu kuna mke wake na Dr. Lwaitama anaitwa Gentamycine kasema kwamba Dr. yuko Nairobi kikazi? Kwamba alikesha naye Kebbys Hotel na wakaachana leo asubuhi wakiwa anaelekea Nairobi? Sasa hii habari ina ukweli kiasi gani?
 
Taluma yangu hairuhusu wongo
 
Dr azavel lwaitama,ndo katinga rasmi ukawa chadema dodoma i leo,lwaitama sio waitama
 
Waitama? Ndo nani huyu
Ni kizee kimoja hivi kifupi chenye mixed dental formula kilichofulia halafu kinaongeaaaaaa cherehani ya Singer cha mtoto. Kilileta za kuleta kwenye ndege majuzi pale Mwanza kikalimwa mtama halafu kikatupwa ndani. Ni kichumia tumbo tu na bila shaka kimekimbilia huko CHDM kuganga njaa kwani kimeshastaafu. May be kinafaa kwenye mambo ya propaganda na kutumika!
 
Back
Top Bottom