Azaveli Lwaitama ajiunga CHADEMA rasmi

Azaveli Lwaitama ajiunga CHADEMA rasmi

Mhadhiri wa Tumaini University na kada wa ccm toka inapojengwa misingi . Dr. Aazaveli Lyaytam rasmi ajiunga na chadema uwanja wa barafu dodoma. Leo Kwenye Ufunguzi wa Kampeni kwenye jimbo hilo

huyu ni yupi maana sijawahi msikia,nilivosoma haraka haraka nilifikiri ni Lwaitama
 
Utawadanganya Hao Hao " Wapumbavu Na Malofa " Wenzako Watakaokuamini Humu JF Na Kwa Kukuumbua Tu Juzi Huyo Huyo Mzee Lwaitama Kaja Kufanyiwa Exclusive Interview Na Media X Iliyopo Nyuma Ya Hotel Ya Kebbys Na Alipomaliza Tu Akatuaga Na Kwenda Moja Kwa Moja Airport Ambako Tokea Juzi Hiyo Hadi Hivi Leo Mzee Lwaitama Yupo Jijini Nairobi Nchini Kenya Kwa Wenyeji University Of Kenyatta Na Anarudi Jumanne au Jumatano Ijayo Na Kama Utataka Uthibitisho Nikupe Namba Yake Anayoitumia Sasa Huko Kenya Alipo Nitafute Ktk PM Nitakupa Ujiridhishe. Endelea Tu KUWATANGULIZA MAPOPOMA Wenzako Humu ILA Binafsi NIMESHAKUDHARAU KULIKOTUKUKA.

Lizaboni bwana!!
 
Mhadhiri wa Tumaini University na kada wa ccm toka inapojengwa misingi . Dr. Aazaveli Lyaytam rasmi ajiunga na chadema uwanja wa barafu dodoma. Leo Kwenye Ufunguzi wa Kampeni kwenye jimbo hilo
Hii ni habari mpya?
 
Gentamycin kuja pande hii, mambo bado inaendelea
 
Last edited by a moderator:
Mhadhiri wa Tumaini University na kada wa ccm toka inapojengwa misingi . Dr. Aazaveli Lyaytam rasmi ajiunga na chadema uwanja wa barafu dodoma. Leo Kwenye Ufunguzi wa Kampeni kwenye jimbo hilo

Yaani Dr Azavel ni mbabaishaji huyo kuliko watu wate duniani si alikuwa UDSM!!!!! Hahahaha kweli nimeaminia Chadema inachukua oil chafu!!
 
Yaani Dr Azavel ni mbabaishaji huyo kuliko watu wate duniani si alikuwa UDSM!!!!! Hahahaha kweli nimeaminia Chadema inachukua oil chafu!!

Mbona hukuyasema haya wakati akiwa CCM??
 
Teh teh teh yangu macho na masikio chichiem wanavyomomonyoka na kusambaratika kaz wanayo
 
Hata akienda hatuwapi nyie wezi wa Ukawa na mafisadi wenu

•Wewe jamaa huwa naangaliaga sana post zako nyingi huwa unatumia nguvu nyingi sana kuwaita UKAWA mafisadi,mara wezi kwani wamekuibia nini wewe binadamu?,Naomba nikuulize swali...HIVI KUNA MAFISADI KAMA HAWA APA??...NA NI WA CHAMA GANI???

●MAGUFULI-KASHIFA YA UUZWAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI MWAKA 2003 KWENYE REPORT YA CAG ALIPIGA BILLION.261
●CHENGE-RADA BILLION 46,ESCROW ALIPIGA BILLION 1.6
●TIBAIJUKA-ESCROW
●NGEREJA-ESCROW
●PROF.MUHONGO-ESCROW
●MWAKYEMBE-MABEHEWA YA TRENI 50 KWA BILLION.400 WAKATI YAMECHAKAA NA THAMANI YAKE NI BILLION.241 NYINGINE AMEKULA.

•Sasa unapata wapi LEGITIMACY YA KUWAITA UKAWA MAFISADI WAKATI NYIE NDO MNAONGOZA???

•NA KAMA HUKO KWENU CCM HAO MAFISADI NDO WAMEJAA KULIKO UKAWA WENYE FISADI MMOJA "EDWARD LOWASSA" KAMA MNAVYOKOMALIA,JE NI NANI ANASTAHILI KUCHUKUA NCHI KATI YA UKAWA AU CCM WENYE MAFISADI LUKUKI????

•KAMA KWELI WEWE UNAITAKIA MEMA NCHI YETU TANZANIA...EBU NIJIBU AYO MASWALI HAPO JUU?????
 
Kwa wanaomfahamu Dr.Azaveli ni nguli wa siasa za ndani na nje ya nchi,mimi binafsi pamoja na wanazuoni wengi nchini waliosomea Philosophy na Political Science wamepita katika mikono yake,hakika akiwa UDSM alikuwa jembe la uhakika!Ninachoweza kusema Chadema na UKAWA wamelamba dume!
 
Yaani Dr Azavel ni mbabaishaji huyo kuliko watu wate duniani si alikuwa UDSM!!!!! Hahahaha kweli nimeaminia Chadema inachukua oil chafu!!

Kumbe Ndo Huyu Dk.Feki.Alikua Ni Mhadhiri Mwenye Kingereza Kibovu Ambacho Hakieleweki Kama Anaongea Kingereza Au Kihaya.Ni Mroporopo Tu Huyu Mzee Bora Aende Tu
 
Yaani Dr Azavel ni mbabaishaji huyo kuliko watu wate duniani si alikuwa UDSM!!!!! Hahahaha kweli nimeaminia Chadema inachukua oil chafu!!

Oil chafu, oil chafu, oil chafu, subiri engine itakaposeize ndipo utakapojuwa umuhimu wa oil kwenye engine.
 
Sheria inaanza kutumika keshokutwa tusijisahau
 
Back
Top Bottom