Tafadhali usilinganishe uzuri wa nyumba za ibada na majengo ya kibiashara!
Hahahahahaaaaaaa....mkuu umenikumbusha hapa jirani mtaani kwangu kulikuwa na mwalimu mmoja wa Physics tena A LEVEL Mbezi Beach High School, kufunga antena ya Chadema tu iliwahi kumshinda. Kuna siku alinikuta kwa fundi umeme akiwa na pasi, anadai pasi yake haiingizi moto kumbe tatizo lilikuwa waya mmoja kati ya tatu ulikuwa umechomoka ndani....Mhhh, hawa graduates wa siku hizi ni jnga la kitaifa. Mtu ana degree ya Electrical Engineering halafu home mkitaka kubadili bulb tu jamaa hawezi excuses kibao!!Hahahaha
Ndiyo maana vijana hawaoni siku hizi..... hapo bado hujalipia kwaya, mapambo ya kanisa nk...Loohh! Hapo kufunga ndoa jiwe mbili.
Mkuu mimi sijaongelea uzuri wa jengo. I am simply talking of creativity. Uzuri ni relative term. Kila mtu ana namna anayoutafsiri. Ila kitu chenye creativity. Anyone see and appreciate. We call it human ingenuity.
Asante
Samahani kwani jiwe mbili ndo sh ngapi vile?2 million au 200,000!Loohh! Hapo kufunga ndoa jiwe mbili.
Ninavyofahamu mimi jiwe ni laki....kunikosoa inaruhusiwa....Samahani kwani jiwe mbili ndo sh ngapi vile?2 million au 200,000!
architect ni Y&P, Masanja anashindwa kutofautisha modern architecture na old era,
architect ni Y&P, Masanja anashindwa kutofautisha modern architecture na old era,
Mkuu, call me names as you like. lakini this building to me kwa kweli it doesnt cut-tena la architect? Please...... Unajua kama umebahatika kutembea duniani..we learn alot from others. So perhaps, I expected too much. Mkuu hilo jengo sioni tofauti na magereza ya Minneapolis au zile nyumba za wasomali mitaa ile ile!
I am not an architect. But I know one when I see one.
Ndo maana hata kama siyo mwanasheria.......ila Tundu Lissu akiongea na mwanasheria Mkuu Werema akiongea..hata ukiwa unakunywa Lubisi pale Lusahunga na hukwenda shule.....utajua mwanasheria ni yupi na mbabaishaji ni yupi.
Asante.
masanja, sikatai unayoyasema, kwa kweli majengo mengi ni copy and paste na architects sometimes dont play their role.
ila, na nyie pia clients, play your part. an architects fee is supposed to be atleast 6% ya total project cost. leo hii unajenga nyumba yako ya lets say 100m.. upo tayari kunilipa 6m for the design??,,, kama wewe haupo tayari kulipa 6 % , kwanini utegemee the best design???
i Think the solution to this is that, both parties should play their part. architects should do their best should to come up with iconic and creative designs, but also clients should be ready to pay the real worth of the design.
na kitu kingne pia, kumbuka very fancy designs costs very high kwenye construction as well, na kila mtu anataka kusave cost na kumaximize profit. this also is a hitch back in our profession.
i hope utanielewa na tutabalance mada.
mkuu kale ka theory ka likes and dislikes kamekupitia pembeni?? (kidding)Mkuu, call me names as you like. lakini this building to me kwa kweli it doesnt cut-tena la architect? Please...... Unajua kama umebahatika kutembea duniani..we learn alot from others. So perhaps, I expected too much. Mkuu hilo jengo sioni tofauti na magereza ya Minneapolis au zile nyumba za wasomali mitaa ile ile!
I am not an architect. But I know one when I see one.
Ndo maana hata kama siyo mwanasheria.......ila Tundu Lissu akiongea na mwanasheria Mkuu Werema akiongea..hata ukiwa unakunywa Lubisi pale Lusahunga na hukwenda shule.....utajua mwanasheria ni yupi na mbabaishaji ni yupi.
Asante.
Mdau acha uongo utakuzeesha mapema.Loohh! Hapo kufunga ndoa jiwe mbili.
Masanja soko la kariakoo architect ni mtanzania Abeda Amuri (R.I.P) napia nayeye ali'copy toka ufaransa kama sikosei, ngoja Safari_ni_Safari aje atuwekee na picha,
jengo la Mecon (Mcony) unalozungumzia magogoni ni lipi?