mkuu kale ka theory ka likes and dislikes kamekupitia pembeni?? (kidding)
narudi kwenye hoja yako sasa, kwanza hiyo ni office block, pili complex design nyingi zinakuwa na cost kubwa kwenye construction tofauti na ma'box, so huwezi jua client budget yake ilikuwajae, kama
Architect E.M alivyosema, ubahili wa ma'cliant to both consultation fees na construction cost vina athiri moja kwa moja design, ila kiufupi hata ukitaka design ya nyumba inayo'inspire mtiririko wa maji au kanga inayopeperushwa na upepo architect anaweza,