Azamu kuiondoa Tv 1 kwanini?

Tido na crew yake wanaona NDONDO CUP na COSAFA ndiyo zina maana zaidi ya Confederation Cup ya Russia.

Yaani TV1 wameweza halafu Azam yenye utitiri wa chanels na resources kibao imeshindwa?

Hii nchi ujinga mwingi sana.
Mkuu tv1 au KFS ni next level kwa sasa sio ya kuilinganisha na azam,inamilikiwa na bilionea huyu ana chaneli za tv zaidi ya 20 duniani mitandao ya simu na biashara nyinginezo lukuki Afrika na abroad...mshkaji wangu wa StarTimes anasema wanakuja na vingamuzi vyao soon. ...tycoon mmiliki wa tv1 huyu hapa Strive Masiyiwa - Wikipedia
 
Kumbe ndo maana nimenunua kirufushi Azam, So natafuta TV 1 nicheck mechi ya Mabara siioni..
Kwa hyo wamehamia kwenye king'amuzi gani..?
Game za shirikisho unaweza kuiona hapo hapo Azam TV..... Fanya hivi.....nenda other channel afu tafuta Chanel inaitwa CRTS 1,ni ya Senegal nafikiri.
Huko mechi kama kawa,hata world cup mwakani tutaangalizia huko huko.
 
Game za shirikisho unaweza kuiona hapo hapo Azam TV..... Fanya hivi.....nenda other channel afu tafuta Chanel inaitwa CRTS 1,ni ya Senegal nafikiri.
Huko mechi kama kawa,hata world cup mwakani tutaangalizia huko huko.
Naendaje kwenye other channels?
 
Hivi mkuu unaking'amuzi cha azam lakini. Mana hapa ninapoongea nimeijaribu Tv 1 haionyeshi kitu.

Kwa hizo za kenya sawa kabisa. Itabidi leo nihamie huko aisee japo kuwa picha zake ni hafifu. Tofauti na Tv 1
Kwahiyo ndio hakuna kabisa me nafungua naona giza tu
 
Back
Top Bottom