Azamu kuiondoa Tv 1 kwanini?

Azamu kuiondoa Tv 1 kwanini?

Hivi mkuu unaking'amuzi cha azam lakini. Mana hapa ninapoongea nimeijaribu Tv 1 haionyeshi kitu.

Kwa hizo za kenya sawa kabisa. Itabidi leo nihamie huko aisee japo kuwa picha zake ni hafifu. Tofauti na Tv 1
Duh,nimeona mkuu,ni giza I see
 
Aiyaaaaaaa!
Ndio maana nahangaika kuugeuzageuza ungo nikidhani labda ungo umekaa vibaya kumbe wameiondoa bhana...!?
So tunaangalia hii nechi ya Leo wapi?
Hahaaa. Umenichekesha mkuu. Yaani unageuza geuza ungo kwa kukosa channel moja.

Ama kweli upenzi wa soka hauwezi kumuacha mtu salama.
 
Wapuuzi hawa wameona ina soko sana inatishia uhai wa LA liga yao yasiyo na maana nahamia statimes wapuuzi hawa.
 
Back
Top Bottom