Azam yazindua tamthilia ya kichochezi mauaji ya Wakristo, Serikali iko kimya

Huyu mdini Dau yuko wapi?
ACHA UDINI!! Si ajabu nyie ndo wale wale 2015 kurudi nyuma mlikuwa mnaishabikia upinzani kwa sababu rais alikuwa Mwislamu, na baada ya Ikulu kuingia Mkristo mwenzenu mkaanza kumshabikia rais aliye madarakani kwa sababu tu ya dini yake! Pathetic!
 
Nafasi ya ajira ikitoka Azam
1.Muarab
2.Chotara wa kiarabu(Muarab koko)
3.Muislamu wa Zanzibar,Mikoa ya pwani
4.Muislamu mwenye kipaji mikoa ya bara
5.Mkristo jembe (Charles Hilali**)
6.Wakristo wa kawaida

Udini na utaifa utawamaliza nyie. Na ndiomaana hamuendelei
 
mkuu hiyo tamthilia inaitwaje na inarushwa muda gani
 
Sio kweli unajifariji tu, azam hakwepeki juzi umeangalia mechi ya simba na yanga kupitia azam ao ao,au bidhaa mpaka ule na unye.
Situmiagi bidhaa yotote ya Azam ni msimamo wangu tu binafsi na familia yangu tangu 2014
 
Sio kweli unajifariji tu, azam hakwepeki juzi umeangalia mechi ya simba na yanga kupitia azam ao ao,au bidhaa mpaka ule na unye.
Endelea kuwaza hivyo. Kama wewe ni mpenzi wa mpira wa miguu basi unafikiri kila mtu anapenda hayo makitu. Usiishi kwa kukariri. Situmii bidhaa yotote ya Azam. Period
 
Mpira upo hata dstv
Endelea kuwaza hivyo. Kama wewe ni mpenzi wa mpira wa miguu basi unafikiri kila mtu anapenda hayo makitu. Usiishi kwa kukariri. Situmii bidhaa yotote ya Azam. Period
 
Mkuu umemaliza kila kituuu .. Hawa jamaa hiyo ndo kasumba yao,sijui kitu gan kinawauma kwa waislamu.. ni unafiki usiona maana tu,. unaweza kuta hata hajawah ifatilia Ujumbe wa hyo tamthiliia ,analiunga tuu sabab tu anaawachukia waislamu
 
TBC sasa hivi wametoka kupiga kwaya ya kumsifia Magufuli na hizi zinpigwa sana tu.
 
Unakua kama huna akili kaiseme na Netflix nayo ifungiwe maana hiyo filam ipo kotekote
 
West vs East
Christianity vs Islam
USA vs Russia (enzi)
Capitalism vs Socialism
Zipo kwa ajili ya umuhimu wa misuguano!
 
There's nothing to be said but nonsense.

Tamthilia inahusu mambo ya historia za dini ni kama ile movie ya yesu no difference at all.
Kuna movies zinaonyesha waafrika wakifanya watumwa hizo unasemaje?

Dini ikizidi inakuwa ujinga sugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…