Azam yazindua tamthilia ya kichochezi mauaji ya Wakristo, Serikali iko kimya

Huyu mdini Dau yuko wapi?
ACHA UDINI!! Si ajabu nyie ndo wale wale 2015 kurudi nyuma mlikuwa mnaishabikia upinzani kwa sababu rais alikuwa Mwislamu, na baada ya Ikulu kuingia Mkristo mwenzenu mkaanza kumshabikia rais aliye madarakani kwa sababu tu ya dini yake! Pathetic!
 
Nafasi ya ajira ikitoka Azam
1.Muarab
2.Chotara wa kiarabu(Muarab koko)
3.Muislamu wa Zanzibar,Mikoa ya pwani
4.Muislamu mwenye kipaji mikoa ya bara
5.Mkristo jembe (Charles Hilali**)
6.Wakristo wa kawaida

Udini na utaifa utawamaliza nyie. Na ndiomaana hamuendelei
 
Hii sasa ni too much kwa media zetu TCRA na wengine haiwezekani kurusha picha zenye kudhalilisha na kujenga chuki chidi ya dini nyingine kwa secular state kama Tanzania huu ni uchochezi wa wazi na haupaswi kufumbiwa macho.

Mapadri walivaa mavazi yenye misalaba ambayo ni ishara ya ushindi wa wakristo kuonekana wakichinjwa kama kuku kwenye runinga ya nchi inayojiita isiyo na dini na inayobalance maudhui .

Waujai wakisema wauweni hao makafiri na kupongezana kwa kusena inshaalah sio jambo la kuona na kukaa kimya wakati mbegu ya chuki ikipandwa kwa kizazi hiki ambapo tamthilia hizi huonwa na watoto hivyo kuwajazia akili za chiki dhidi ya dini nyingine

Kwa kuwa ndio mara ya kwanza tamthilia hii imeanza ni bora kuipiga ban na kukipiga faini kituo cha Azam

USSR

===
Majibu ya wadau
mkuu hiyo tamthilia inaitwaje na inarushwa muda gani
 
Sio kweli unajifariji tu, azam hakwepeki juzi umeangalia mechi ya simba na yanga kupitia azam ao ao,au bidhaa mpaka ule na unye.
Situmiagi bidhaa yotote ya Azam ni msimamo wangu tu binafsi na familia yangu tangu 2014
 
Sio kweli unajifariji tu, azam hakwepeki juzi umeangalia mechi ya simba na yanga kupitia azam ao ao,au bidhaa mpaka ule na unye.
Endelea kuwaza hivyo. Kama wewe ni mpenzi wa mpira wa miguu basi unafikiri kila mtu anapenda hayo makitu. Usiishi kwa kukariri. Situmii bidhaa yotote ya Azam. Period
 
Mpira upo hata dstv
Endelea kuwaza hivyo. Kama wewe ni mpenzi wa mpira wa miguu basi unafikiri kila mtu anapenda hayo makitu. Usiishi kwa kukariri. Situmii bidhaa yotote ya Azam. Period
 
Ama kweli MUNGU hamfichi mnafiki!!! Aibu yako kwa sababu ulidhani huyo kenge ni Mwislamu kumbe Mkristo mwenzako aliyeamua kuja JF kulalamikia mambo ya kipumbavu kabisa!! Ukweli ni kwamba hakuna watu walalamishi nchi hii kama Wakristo lakini kwa unafiki wenu mnajifanya hamlalamiki! Kila mtu anakumbuka jinsi mlivyokuwa mnamshutumu JK kwamba eti mdini mkiona kateua Waislam! Kila mtu anakumbuka jinsi nyuzi dhidi ya Dr. Dau zilivyokuwa hazikauki hapa JF kwamba eti mdini, na kila siku kudai kwamba Dau anaiua NSSF!!

Kaja Magufuli Mkristo mwenzenu, mmebadili santuri ya Udini na mmeleta santuri ya ukabila kwa sababu kwavile mmezoea kulalamika bado mnatafuta angle zingine za kulalamika! Nyuzi za NSSF kutaka kufa zimeisha kwa asilimia 95%. Na mkapata aibu zaidi pale serikali ilipoamua kuunganisha mifuko ya hifadhi ya kijamii lakini ikaiacha NSSF kama ilivyo kwa sababu ilikuwa mnajitosheleza ingawaje mlikuwa hamchoki kuimba NSSF inafilisika kwa sababu tu DG alikuwa Mwislamu!! Punguzeni unafiki! Na huyo USSR ni mdini tu kwa sababu tamthilia anayoizungumzia inaoneshwa kwenye nchi kadhaa including za Kikristo kwa sababu ni historical drama! Btw, hivi kuna tamthilia ngapi zinazo-depict kwamba Waislamu ni Magaidi?! Mbona mnazitazama tena huku mkishangilia?!
Mkuu umemaliza kila kituuu .. Hawa jamaa hiyo ndo kasumba yao,sijui kitu gan kinawauma kwa waislamu.. ni unafiki usiona maana tu,. unaweza kuta hata hajawah ifatilia Ujumbe wa hyo tamthiliia ,analiunga tuu sabab tu anaawachukia waislamu
 
TBC sasa hivi wametoka kupiga kwaya ya kumsifia Magufuli na hizi zinpigwa sana tu.
 
Unakua kama huna akili kaiseme na Netflix nayo ifungiwe maana hiyo filam ipo kotekote
 
West vs East
Christianity vs Islam
USA vs Russia (enzi)
Capitalism vs Socialism
Zipo kwa ajili ya umuhimu wa misuguano!
 
There's nothing to be said but nonsense.

Tamthilia inahusu mambo ya historia za dini ni kama ile movie ya yesu no difference at all.
Kuna movies zinaonyesha waafrika wakifanya watumwa hizo unasemaje?

Dini ikizidi inakuwa ujinga sugu.
 

Similar Discussions

46 Reactions
Reply
Back
Top Bottom