Azam vs yanga updates

Azam vs yanga updates

Azam TV inaonyesha matukio kishabiki sana. Kuna tukio Mwadini aliukosa mpira na Yanga wakaweka kimiani lakini refa akakataa. Irudiwa mara moja tu. Kuna tukio Juma Abdul wa Yanga alionekana amenawa ndani ya 18. Imerudiwa sijui mara kibao.

Kama TV inayoangaliwa na watu wote wanatakiwa kurekebisha hiyo kitu.
 
Mliberia alipewa sifa za bure wa kawaida sana kama wakina Ngasa anao anao nyingi sana
 
Back
Top Bottom