samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,237
Hawa wamepewa tunasubiri dstv pia ziwe za bure sio kulipia
Fahamu wako kibiashara zaidi hao muwahimize broHawa wamepewa tunasubiri dstv pia ziwe za bure sio kulipia
vipi kuhusu DSTv vs local channels?Iko hivu leseni ya kulipia kama dstv zuku azam, hutumi satellite tu hada leseni yake ni bei ndogo, leseni yenye local ni bei kubwa shart lazima ujenge mitambo ya ardhini ili wenye antenna wakupate kma star times kuna antenna na dish ndio sheria inataka azama kabadiri leseni iwe kama star times kwahio wakishajenga tu free Chanel tano za ndani
Hapa mpaka Yesu arudi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vipi kuhusu DSTv vs local channels?
Kweli maajabu yapo duniani. We jamaa mleta mada akili yako haina tofauti na ya bashite. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahah haha tutanunua Dstv na startimes ss[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watatuuzia Tena vingamuzi vya ch za bure? Na hizi tuzifanyaje hizi za bakuli au mnasema hungo ...
neno !Hapo AzamTV wanaweza kurudi hewani baada ya uchaguzi
Wabadiri leseni hakuna namna bro, azam washapewa leseni.vipi kuhusu DSTv vs local channels?
Hapa mpaka Yesu arudi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanasubiri ss kutuunganisha na local chanell au mpk tununue tena ving'amuzi vipyaa
Yani Dstv wabadili leseni kisa Local channels za Bongo???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wabadiri leseni tu hakuna namna
Mwanzo walikua wanaonyesha?Yani Dstv wabadili leseni kisa Local channels za Bongo???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaah zilokuwepo sema Tz wakataka Dstv wazioneshe buree..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Hapo ndo jamaa wakazifutiliaa mbaliiMwanzo walikua wanaonyesha?
Unamaanisha nini kusema wanapumulia machine? Vibali ya local Chanel azam wamepata subiri utaona bro usiwadharauAzam inapumulia mashine, dstv imerudi juu. Hao asam sijui wameridhika nini maana wameondoa channel nyingi yaani kifupi hamna cha maana labda wanaopenda soka la bongo ndio watabaki zaidi ya hapo hamna kitu. Wajitafakari wako vizuri kuanzisha miradi ila wanakosa stamina ya kuendeleza.
Matatizo haya yanaonekana pia kwenye juisi zao, maziwa, maji ya uhai n.k kifupi mzee Bakhressa anagalia vizuri empire yako....
Ubaya wake hizo local channels Ni kwa Antenna tu! Wengine wa Azam Dish tutaendelea kuugulia maumivuUnamaanisha nini kusema wanapumulia machine? Vibali ya local Chanel azam wamepata subiri utaona bro usiwadharau
Una uhakika usemalo? Leseni ya local ni antena na satellite kama startimes bro,nipe ushahidi usemalo hilo walikupa uhakika wenyewe?Ubaya wake hizo local channels Ni kwa Antenna tu! Wengine wa Azam Dish tutaendelea kuugulia maumivu
Yah hata ukiwapigia customer Care watakupa majibu hayo kwamba king'amuzi kinachohusika Ni upande wa antenna pekee na upande wa sattelite hawajaruhusiwa nandiyomaana hawana uwezo wa kuzionesha sasa. Japo cjui swagaUna uhakika usemalo? Leseni ya local ni antena na satellite kama startimes bro,nipe ushahidi usemalo hilo walikupa uhakika wenyewe?