Ni kua leseni ya warusha maudhui ziko mbili pay tv na FTA, FTA mfano star times, digitek,Continental na ting,hawa usajiri lazima uwe nchini wanaruhusiwa na Chanel za pay chart kubwa kifurushi kikiisha local ITV,eatv,TBC 1,startv na Chanel ten zibaki hizo ni bure wanarusiwa kurusha matangazo kwa antenna na satellite, pay tv local ni TBC na safari Chanel tu,mfano azam,zuku na dstv, wanachobanwa leseni yenye uruhusu local ni kubwa pia isajiriwe nchini hapa,ndio maana azam wamebadiri leseni tusubiri muda waanze kurusha,kisheria Chanel za local ziko aina mbili pay na FTA mfano ITV ni bure, clouds pay tv, kilichopo ni hivyo kana una swali uliza