abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,292
Habar wadau
Azam TV ni kampuni kubwa sasaiv Tanzania na Africa Mashariki na Mwanzo walianza vizur ila Naona mwisho sio mzur hasa kwenye swala la Bondia now days wanaanza kufeli
Before Azam na Makanpuni mengine mengi Wali jitaid kuurudisha mchezo wa Ngumi Hapa Tanzania ila matokeo na muitikio vilikua tofaut Mpaka pale Mwakinyo alipo Kuja kuupa Thaman mchezo wetu wa Ngumi na kufanya kuwa baadh ya michezo inayo pendwa Tanzania na kua Kati ya michezo yenye uwezo wa kuingiza watu elfu 2 kwa usiku mmoja
Na kama kawaida Baada tu ya Bondia Kuanza kutoa matunda wale watu wapenda mseleleko wakaanza kujitokeza pia na Bondia wale walio shindwa before wakaanza kurud na kujiita Mabingwa uku wakitaka kua wakubwa Zaid ya Mwakinyo pia na promoter kuona kazi ni nyepesi na kudhan kua Bila mwakinyo mambo yataenda kama wanavyo dhan
Matokeo yake wanalazimisha mapambano yasio na hadhi kwa kuleta mabondia wabovu ili tu Mabingwa walio watangaza wao washinde
Tumeshuudia twaha kiduku akiletewa mzee et ni Bondia pia hata Dula mbabe imekua ivyo ivyo
Azam TV embu angalien maon ya watanzania kwenye mitandao ya kijamii juu ya malipo toka na mnapo elekea. Azam TV angalien muitikio wa watanzania siku izi japo mnapiga promo kubwa Lakin watu hawaj wala hawajitokez
Ngumi ilikua imerud na kufika pazur ila naiona inaenda kufa Tena sababu ya watu kuto heshim michango ya watu
. Azam Mjitafakar sababu hata Mimi Binafs sikuiz ngum siangalii Tena
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app