Digitek hawajawahi niangusha. Kwanza ni bure, hakuna malipo yoyote baada ya kununua king'amuzi. ITV, TBC1, Channel 10, Star TV, EATV, Capital, Algezeera, Citizens TV, Emmanuel TV, Ipo nyingine ya Kiislam, na zingine kibao kama za Japan na maigizo n.k.
Kwa matumizi nyumbani na kwa kuwa sina muda wa kuangalia Tv zaidi ya taarifa ya habari nadhani hizo zinanitosha.

Mkataba mkuu nahisi uliisha ila pia nlikuwa naikubali sana hyo channelMimi DSTV waliniudhi walipo toa chanel ya 1 Gospel
Mkuu kinauzwa bei gani maana mwenyewe naona Azam wananifilisi tu kulipia wakati muda wakuangalia tv sinagaDigitek hawajawahi niangusha. Kwanza ni bure, hakuna malipo yoyote baada ya kununua king'amuzi. ITV, TBC1, Channel 10, Star TV, EATV, Capital, Algezeera, Citizens TV, Emmanuel TV, Ipo nyingine ya Kiislam, na zingine kibao kama za Japan na maigizo n.k.
Kwa matumizi nyumbani na kwa kuwa sina muda wa kuangalia Tv zaidi ya taarifa ya habari nadhani hizo zinanitosha.
Mkuu kina movie za actions? Kina uzwa bei gani?Digitek hawajawahi niangusha. Kwanza ni bure, hakuna malipo yoyote baada ya kununua king'amuzi. ITV, TBC1, Channel 10, Star TV, EATV, Capital, Algezeera, Citizens TV, Emmanuel TV, Ipo nyingine ya Kiislam, na zingine kibao kama za Japan na maigizo n.k.