Yusuph Wernery
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 316
- 147
Tunalalamika wakati dawa tunayo sisi wenyewe duuuu vijana, wazee tuungane tujiandikishe na kupiga kura Octobet hayo yote tunayo ya lalamikia yatakuwa ni ndoto bila kuunganisha tofauti zetu na kupiga kura Octobet it's equal to zero