Azam TV nao wametugeuka, tuende wapi?

Azam TV nao wametugeuka, tuende wapi?

nyie manaya'ngau mnalalamika hapa ili iweje??

madish kibao na decoder kibao zimejaa kariakoo unapata channel za bure kibaoo! tulieni dawa iwaingine na wapandishe hadi ifike laki, mijitu hata hamtumii bongo zenu!
 
Mkuu,hicho chako ni unique,changu kinakupa free chanel kwa wiki mbili tu baada ya malipo yako ya mwezi kwisha,mwanzo walibakiza chanel kama 13 za east afrika,baadaye wakaondoa za nje ya tanzania,sasa hivi nao wamekuwa kama zuku tu.

sawa lakini mwanzo ulisem wametoa kabisa halahu sio two weeks ni three weeks.Ila ww ulitakaje digital imekuja kibiashara na ndo mana chanel za zamani za kwenye analig zinaendelea kuwepo free
 
Wa Kwanza Mimi Nakitupa kapuni UDUWANZI HUU Bora nirudi nilikotoka kwa Mchina
 
Ndugu mteja, kutokana na serikali kuongeza VAT kwenye malipo ya mwezi na ongezeko la thamani ya pesa za kigeni, inatubidi tuongeze bei ya vifurushi. Hivyo basi, kuanzia tarehe 1 Julai 2015, malipo ya mwezi yatakuwa kama ifuatavyo: Azam Pure itakuwa 12,000, Azam Plus 20,000, Azam Play 30,000.

Ngoja nirudi tu kwa mafisadi.

30,000/30 days =1,000/ kwa siku. Nyumba nzima( watu zaidi ya sita) mnaenjoy TV( habari. cartoon.tamthiliya.mchezo) jamani.
Mmeletewa watangazaji mahiri mishahara yao minono. Kitu bora kina gharama. nenda Startimes.
 
Kwani serikali imeongeza VAT? Ya sasa imekuwa % ngapi
 
Hadi serikali ibadilike mtajikuta ving'amuzi vote bei ni moja..
 
Back
Top Bottom