Azam TV nao wametugeuka, tuende wapi?

Azam TV nao wametugeuka, tuende wapi?

DSTV bado wanabaki kuwa the best option

best option kivip, wakati na wao wamepandisha bei?
Imeniuma juzi nimelipia 40000 na sikuona cha maana. Time hii nnafikiria kumiliki startimes Tu.
 
Siku Azam akionesha ligi yoyote ya ulaya hata amerika live basi itakuwa kama Dstv malipo ya mwezi
 
We una bahati. Mimi zikipita wiki mbili local channels nazo zinasepa.

Nina mwaka wa pili sijawahi lipia kingamuzi naangalia local chanel tu chanel zenyew e za kulipia kuanzia 20, 000ni za kilocal haibiwi mtu hapa.
 
Ndugu mteja, kutokana na serikali kuongeza VAT kwenye malipo ya mwezi na ongezeko la thamani ya pesa za kigeni, inatubidi tuongeze bei ya vifurushi. Hivyo basi, kuanzia tarehe 1 Julai 2015, malipo ya mwezi yatakuwa kama ifuatavyo: Azam Pure itakuwa 12,000, Azam Plus 20,000, Azam Play 30,000.

Ngoja nirudi tu kwa mafisadi.

Ukikimbia nchale ukichimama nkuki.
 
Kwa wale watumiaji wa king'amuzi cha azam ambao ni watanzania wa hali ya chini leo tumepokea msg ya kupanda kwa gharama za kila mwezi......kwa malipo hayo..ukijumlisha na gharama za maji na umeme kwa mwananchi wa kawaida ni afadhali kuendelea na satelite dish au ving'amuzi vingine vyenye gharama nafuu kwa mtanzania mwenye maisha ya chini.
 
hawa jamaa wameaanza kupoteza ubora kabisa hata online AZAM Media Flash Page hawapatikani tena... kazi tunayo, na hakuna channel yoyote iliyo online .. yaani nimajanga tunajisifu eti ni karne ya 21.. na teke linalokujia daahhhh...
 
Yale madish ya futi 8 ya FTA si bado yanapatikana..?
 
Vipi Emanuel TV mbona wameiondoa wamebakiza za kisalmu pekee?
Zanta
kwa bahati mbaya usimlaumu Azam TV, ukiangalia katika bundle zao hakuna Emanuel TV wala zile za kiislamu. Zile ni other channels ambazo zinapatikana katika same sattelite. Kwahiyo zikiondoka obviously wao hawahusiki. Jaribu kufanya factory default ikiwa bado haipatikani maana yake Emanuel Tv wameondoka katika hio satellite.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu mteja, kutokana na serikali kuongeza VAT kwenye malipo ya mwezi na ongezeko la thamani ya pesa za kigeni, inatubidi tuongeze bei ya vifurushi. Hivyo basi, kuanzia tarehe 1 Julai 2015, malipo ya mwezi yatakuwa kama ifuatavyo: Azam Pure itakuwa 12,000, Azam Plus 20,000, Azam Play 30,000.

Ngoja nirudi tu kwa mafisadi.

Siwezi kumlaumu Azam, zuku wala mwengine yeyote akipandisha bei, they are not running it for free. Na mujue kila hizo channel zinazo oneshwa katika vingamuzi wenye channels zao wanataka kulipwa, ote hao kina ITV, Channel10, Startv na kina clouds wanataka kulipwa tena kwa dola.
Mimi nailaumu serikali, kwasababu wao kazi yao kutukamua sisi wananchi ili wapate wao wafanye ubadhirifu.
Maisha bora kwa kila mwananchi CCM oyeee!!
 
mkuu huyo jamaa anatetea asichokijua,azam tv kifurushi kikiisha local chanel baada ya wiki mbili wanaziondoa mpaka ulipie

Hiyo ilikuwa zamani Mkuu, sasa hivi kifurushi kikiisha local channels zinabak,
 
Nina king'amuzi cha Azam, local channels na FTA, habari kwishney, acha waongeze! mi mpeto na FTA.

Azam baada ya kuwa ajili watangazaji wale 6 wabongo wamepapatikia ving'amuzi vyao ndio maana wakona wacha wawatwange
 
Halafu hawa Azam Tv hawana station vya bure...Yaani zile Tv kama TBC,Star TV,Channel 10,ITV and the like huwezi zipata kwa bure

Mkuu kanunue c band dish utapata local channels na citizen tv,unakosa nini?
 
Kama unaielewa vizuri concept ya VAT usingelalamika... ni vema ukailalamikia serikali na sio AZAM
 
Kitu kimoja hamkijui kuhusu kampuni za Azam ni kuwa mara zote wanapoanzisha huduma au bidhaa mpya, hutumia strategy ya price penetration ili kuvutia wateja na kuwatoa katika ushindani rivals wao. Mbinu hii Bakhressa ndio anayoitumia muda mrefu sasa. Anaanzisha bidhaa anashusha bei deliberately ili kuua competition . Then akishakua na uhakika wa soko anapandisha bei dramatically and leave customer with no choice since competitors wake wanakua hoi.
 
ananiacha with no choice kivipi? Kwani ni lazima niendelee kubaki mteja wa azam.naweza kuhama tu its afree market anyway.
 
Back
Top Bottom