RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 3,590
- 8,475
Mkuu unanifurahisha sana, ingawa unashindwa kunipa link, nikienda Wikipedia zinakuja link nyingi, Cha mwisho naomba upitie hii document hapa chini ya sensa ya 2012 unionyeshe wapi waliweka kipengele cha dini na asilimia zake.Nenda tu Wikipedia andika Tanzania basi