Azam Tv inapoteza mvuto

Nenda tu Wikipedia andika Tanzania basi
Mkuu unanifurahisha sana, ingawa unashindwa kunipa link, nikienda Wikipedia zinakuja link nyingi, Cha mwisho naomba upitie hii document hapa chini ya sensa ya 2012 unionyeshe wapi waliweka kipengele cha dini na asilimia zake.
 
Attachments

  • 2012_Census_General_Report.pdf
    7.1 MB · Views: 16
Mkuu unanifurahisha sana, ingawa unashindwa kunipa link, nikienda Wikipedia zinakuja link nyingi, Cha mwisho naomba upitie hii document hapa chini ya sensa ya 2012 unionyeshe wapi waliweka kipengele cha dini na asilimia zake.
Unasikitisha sana, anyway endelea kuamini unachoamini.
 
Mkuu ulidai NBS ndio walitoa hizo takwimu,hio ndio document ya NBS sasa unapoingia wikpedia wanatoa taarifa katika taaeisi zinazotambulika,taasisi inayotambulika ndio hio kwa Tanzania kwakutoa takwimu, Kama kuna taasisi isiyo yakiserikali ilifanya sensa hio niambie mkuu,au utuwekee document tujisomee wenyewe.

Mwisho kigezo cha dini kilifutwa kwenye sensa ya 1967, mwisho kabisa endelea kuamini hivo, lakini mie naamini document rasmi zinazotambuliwa kimataifa.

Mjadala mwema.
 
Mbona unajitekenya na kucheka mwenyewe? Mwenzio kaja na vivid example umezikataa halafu unaleta ishu zako mwisho unajijibu mwenyewe, enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga
Kwa hiyo mimi nikiweka majina ya kiislamu/kiarabu ndio itakuwa vivid example? Idiot!
[/QUOTE]
Duu! Aliyewaroga wagalatia na alaniwe
 
Unasikitisha sana, anyway endelea kuamini unachoamini.
Tulijua tu lazima utakimbia sensa ya kipengele cha dini iliisha mwaka 67, 2012 baadhi ya waislam tuliwekwa ndani kisa kuigomea hiyo sensa kama huamini kaulize wagalatia wenzio
 
Kwa hiyo mimi nikiweka majina ya kiislamu/kiarabu ndio itakuwa vivid example? Idiot!
Duu! Aliyewaroga wagalatia na alaniwe
[/QUOTE]
Ushamlaani babako hapo. Nina zawadi ya mbwa anayesali msikitini. Ni mstaarabu sana. Mama yako anamhusudu sana, maana anajua vingi vya binadamu. Nakupa zawadi ya iddi tatu.
 
Mkuu ulidai NBS ndio walitoa hizo takwimu,hio ndio document ya NBS sasa unapoingia wikpedia wanatoa taarifa katika taaeisi zinazotambulika,taasisi inayotambulika ndio hio kwa Tanzania kwakutoa takwimu, Kama kuna taasisi isiyo yakiserikali ilifanya sensa hio niambie mkuu,au utuwekee document tujisomee wenyewe.

Mwisho kigezo cha dini kilifutwa kwenye sensa ya 1967, mwisho kabisa endelea kuamini hivo, lakini mie naamini document rasmi zinazotambuliwa kimataifa.

Mjadala mwema.
Nimejaribu kukufafanulia vizuri kabisa na nikakuwekea proved articles zilizoko Wikipedia zinazoielezea Tanzania na mifumo yake bado hutaki kuamini.

Mwaka 2012 wakati watu walioajiriwa na ofisi ya Takwimu ya taifa walikuwa wakihoji dini za wanakaya husika na hata kama mkuu wakaya hayupo aliyepo ndiye aliyetakiwa kutoa taarifa husika.

Mimi ni mmoja wa wanadamu walioulizwa maswali na mawakala wa ofisi ya taifa ya takwimu waliokuwa wakiendesha hilo zoezi Mkoa wa Mwanza.

Mwisho kabisa idadi ya Wakristo kuwa wengi kuliko waislamu kwa Taifa letu na hata Afrika nzima inaweza isikuhitaji hata takwimu kutambua.
 
Tulijua tu lazima utakimbia sensa ya kipengele cha dini iliisha mwaka 67, 2012 baadhi ya waislam tuliwekwa ndani kisa kuigomea hiyo sensa kama huamini kaulize wagalatia wenzio
Una matatizo fulani fulani.
umesoma article yangu niliyoiweka?
 
Una matatizo fulani fulani.
umesoma article yangu niliyoiweka?
Mkuu unafahamu hata wewe au mimi nauwezo wakupublish taarifa zangu Wikipedia?.

Unafahamu kama unafanya Research au Project, Wikipedia inazuiliwa kama reference au source ya habari?.Unafahamu kw nini hairuhusiwi?.

Mwisho kama unaamini hivo idadi ya wakristo nikubwa kuliko waislam wala sikupingi,lakini nachopinga nikudai kuwa sensa ya mwaka 2012 ilitaja kigezo cha dini.Maana document kutoka office ya takwimu ya taifa nimekuwekea hapo, unionyeshe wapi asilimia za dini ziliwekwa naona umeruka. Inawezekana nchi hii wakristo niwengi kuliko waislam wala sipingi na naomba uendelee kuamini hivo.

Lakini nachokataa nikuwa sensa ya 2012 haikuweka kigezo cha udini, nakama kingelikuwepo waislam walipotaka kiwekwe hicho kigezo Serikali iligoma na mpaka waislam wakataka kususia sensa hiyo, Sasa labda kama kuna sensa isiyo rasmi iliyopita makanisani kujua idadi ya waumini wake wala sikatai.
 
Tofauti na ligi kuu Azam kuna lipi hasa!!
Kwa kweli hakuna. Niliboreka sana walipotoa taarifa ya habari na kuipeleka UTV. Hawa jamaa sijui hawaoni hii hali ya uchumi. Yaani tulipie king'amuzi kisha tulipie bundles za simu kuangalia taarifa ya habari! Uzuri nina DSTV, wataiona pesa yangu ligi kuu ikianza.
 
Mkuu unafahamu hata wewe au mimi nauwezo wakupublish taarifa zangu Wikipedia?.

Unafahamu kama unafanya Research au Project, Wikipedia inazuiliwa kama reference au source ya habari?.Unafahamu kw nini hairuhusiwi?.

Mwisho kama unaamini hivo idadi ya wakristo nikubwa kuliko waislam wala sikupingi,lakini nachopinga nikudai kuwa sensa ya mwaka 2012 ilitaja kigezo cha dini.Maana document kutoka office ya takwimu ya taifa nimekuwekea hapo, unionyeshe wapi asilimia za dini ziliwekwa naona umeruka. Inawezekana nchi hii wakristo niwengi kuliko waislam wala sipingi na naomba uendelee kuamini hivo.

Lakini nachokataa nikuwa sensa ya 2012 haikuweka kigezo cha udini, nakama kingelikuwepo waislam walipotaka kiwekwe hicho kigezo Serikali iligoma na mpaka waislam wakataka kususia sensa hiyo, Sasa labda kama kuna sensa isiyo rasmi iliyopita makanisani kujua idadi ya waumini wake wala sikatai.
Nimejaribu kuelezea uzoefu wangu kwenye hilo kuwa mimi binafsi mwaka 2012 katika mkoa wa Mwanza niliulizwa maswali hayo kama mkuu wa kaya dini yangu ni ipi.

pili nafahamu mtu yeyote anauwezo wa kuhariri ama kuchapisha kitu Wikipedia lakini si vitu sensitive kama World GDP, COUNTRY GDP, idadi ya makabila na lugha zinazotumika, maisha binafsi ya mtu, population n.k

kitu kama hakiko proved watahitaji citation.
 
Hiyo misikiti iliyokuwepo uwanjani wanalazimishwa wachezaji wasio wa hiyo imaani kwenda kuabudu/ kusali? au ni zambi kujenda nyumba ya ibada ? au labda ulipenda wangejenga na kanisa?
Uwanjani wanaenda watu wenye dini na wasio na dini. Wangepaswa waweke na kanisa pia
 
Nani kaweka hio sensa wakristo asili mia 65 nani ni owongo mtupu hebu sensa gani ilifanywa watu wakaulizizwq dini zao si walifuta sehenu ya dini kwa sababu waislaam ndio wengi tokea mwalimu anapata uhuru UN wanajuwa Tanzania waslaam wako 65 pcnt. Na mpaka miaka ya karibuni hivyo hivyo waislam ndio wengi sana tu ,MAKANISA YANADANGANYA ETINWAKRISTO WAKO WENGI AASA WALE WAISLAAM WALIOKUWA WENGI WAMETOWEKA WAPI ? KUMBUKA WAISLAAM WANAOWANA HATA WAKE WANNE NA KUZALIANA SNAA PIA WAISLAAM WAKO TANGANYIKA MIAKA 1000 iliopita sio ukristo uko hapa miaka 120 basi
 
Nimejaribu kukufafanulia vizuri kabisa na nikakuwekea proved articles zilizoko Wikipedia zinazoielezea Tanzania na mifumo yake bado hutaki kuamini.

Mwaka 2012 wakati watu walioajiriwa na ofisi ya Takwimu ya taifa walikuwa wakihoji dini za wanakaya husika na hata kama mkuu wakaya hayupo aliyepo ndiye aliyetakiwa kutoa taarifa husika.

Mimi ni mmoja wa wanadamu walioulizwa maswali na mawakala wa ofisi ya taifa ya takwimu waliokuwa wakiendesha hilo zoezi Mkoa wa Mwanza.

Mwisho kabisa idadi ya Wakristo kuwa wengi kuliko waislamu kwa Taifa letu na hata Afrika nzima inaweza isikuhitaji hata takwimu kutambua.

Mmh mmh we kijana acha uwongo hao watu walipita kila mahala ilo swali ndio nalisikia kwako kanda uliulizwa peke yako
 
Hawa wenzetu na udini huwezi kuwatenganisha. Hata hizi tamthilia zinalenga kueneza dini. Siku si nyingi ntafutilia mbali likingamuzi lao. Ngoja hii tamthilia ya suntan iishe maanA home hawatanielewa na baada ya hapo ntafanya maamuzi
Kristo Akuongoze
 
Mmh mmh we kijana acha uwongo hao watu walipita kila mahala ilo swali ndio nalisikia kwako kanda uliulizwa peke yako
Usiwe na akili za kijinga za form four failures.
sina haja hata ya kuangaika nawewe kujibu lolote Get lost
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom