Azam tv huu sasa ni utapeli

Azam tv huu sasa ni utapeli

Cyo siri hata Mimi Azam imenibore sana,15,000/= nilikuwa angalau napata channel za movie (action) na mpira (local league) lakini hivi sasa nimelipia 18,000/= naangalia mpira tu channel zote za movie wamepeleka 22,000/= .Nilitegemea Azam ndiyo itakuwa kimbilio letu sisi wa kipato cha chini lakini sivyo,natamani hata kuvunja dish lao,mchina na TBC wangekuwa vizuri na star times yao ningeludi huko.
Hiyo ilikuwa ni offer tu since june hadi hiyo september.
Sio kwamba channel za movie zilikuwa 15000.
 
AZAM kwakweli sasa wanakera mimi niko mkoani nimelipia hiyo 15000 lakini hakuna chaneli yeyote waliyoongeza,nikaongeza sh3000 kama matangazo yao yanavyosema lakini hakuna channeli waliyonifungulia,nika bonyeza *150*50*5# na kubadili kama wanavyotangaza wakanitumia sms kuwa nimefanikiwa kubadili kifurushi lakni kwenye tv yangu bado vilevile.kwakweli wanajeuri sasa.
Same to me. Nineongeza 3000 tsh lakini chaneli zao hazifunguki
 
Mimi wanaudhi namba ya huduma kwa wateja hawapokei
 
KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA KIBEPARI...

Huu mfumo wa digital Tanzania tumeharakishiwa...nchi nyingine unafanya maamuzi mwenyewe ubaki analog au digital
Huku kwetu viongozi walikula mlungula ili startimes wa take over
 
AZAM ILITAKIWA KUWA MFANO KWA TV ZOTE TANZANIA ILA NAONA MSHAURI WAO WA MAMBO YA MARKETING AMEWASHAURI NDIO SIVYO.USIFIKIRI KILA MTU ANAPENDA KUANGALIA FIESTA LIVE KWANI WANAMUZIKI WENGI WETU HAWAJUI KUPEFORM LIVE. SASA MIMI NITATOA SHS ELFU TATU KUSHAANGILIA TU HE HE SAY YEEE SAY WAO WAO.WANGEFANYA KWANZA UTAFITI KWANZA WATU WANAPENDA KUANGALIA FIESTA LIVE.MIMI NI AFADHALI WATOE CHANELI YAO WALIONGEZA WAKAACHA KAMA ZAMANI
 
TV Emmanuel haionekani...tumemmis Tb Joshua
 
kweli mim nilidhani baada ya kuongeza hivyo tuone japo UEFA champions league badala yake wanatuletea mambo ya clouds tv plus
 
AFISA BIASHARA WAO HAJAFANYA UTAFITI NA HATA HAWATACHUKULIA SERIOUS HAYA MAWAZO YETU.AZAM WASITURUDISHE KWENYE TV ZA WAHENGA WETU TULIOWAKIMBIA WANAOONYESHA MASHAMBA YA MAHINDI NA HOTUBA ZA CCM SIKU NZIMA
 
AZAM ILITAKIWA KUWA MFANO KWA TV ZOTE TANZANIA ILA NAONA MSHAURI WAO WA MAMBO YA MARKETING AMEWASHAURI NDIO SIVYO.USIFIKIRI KILA MTU ANAPENDA KUANGALIA FIESTA LIVE KWANI WANAMUZIKI WENGI WETU HAWAJUI KUPEFORM LIVE. SASA MIMI NITATOA SHS ELFU TATU KUSHAANGILIA TU HE HE SAY YEEE SAY WAO WAO.WANGEFANYA KWANZA UTAFITI KWANZA WATU WANAPENDA KUANGALIA FIESTA LIVE.MIMI NI AFADHALI WATOE CHANELI YAO WALIONGEZA WAKAACHA KAMA ZAMANI
huko kwenye fiesta unasikia tu mikono juu mikono juuu say yeeeeah yeeeahhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom