Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,423
- 29,084
Kwema Wakuu,
Azam TV ndio king'amuzi pekee kwa tanzania wenye Hakimiliki ya Kuonyesha moja kwa moja Mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara, maarufu kama VODACOM PREMIER LEAGUE.
Leo Hii Jumamosi tarehe 14th March 2020 kuna mechi kadhaa za ligi zinachezwa kama vile Polisi V/s Ndanda, Mtibwa Sugar v/s Biashara United, Lipuli FC v/s Kagera Sugar na Singisa United v/s Mbeya City.
Katika Mechi hizi zote nne, hakuna mechi hata moja inayoonyeshwa na hawa Azam kwa Channel yao yoyote ile. Huu ni wizi sababu kwa wiki nzima hii wamekua wakitutangazia kua wataonyesha hizi mechi.
Huu ni wizi na Utapeli wa wazi kabisa. Leo jumamosi hakuna chanel yoyote ya Azam inayoonyesha ligi hii na hakuna tukio lolote la kuleta udhuru labda mechi hizi za VPL zisionyeshwe. Mkianza tabia hii mkaizoea soon tutawakimbia.