Azam tv huu sasa ni utapeli

Azam tv huu sasa ni utapeli

Yaani unalipa 18000 hakuna channel za Maana , mwanzoni nilikuwa nalipa 15000 napata Nat Geo Wild Leo hii hakuna wizi mtupu
Mkuu umeanza kutumia lini azam?
Maana hiyo ilikuwa promotion kipindi cha mfungo wa Ramadhan na walisema itaisha mwezi wa tisa
 
Karibu DSTV

Cyo siri hata Mimi Azam imenibore sana,15,000/= nilikuwa angalau napata channel za movie (action) na mpira (local league) lakini hivi sasa nimelipia 18,000/= naangalia mpira tu channel zote za movie wamepeleka 22,000/= .Nilitegemea Azam ndiyo itakuwa kimbilio letu sisi wa kipato cha chini lakini sivyo,natamani hata kuvunja dish lao,mchina na TBC wangekuwa vizuri na star times yao ningeludi huko.
 
Sijui kwa nini waliwaondoa TV 1 kwenye king'amuzi chao?
 
Mkuu umeanza kutumia lini azam?
Maana hiyo ilikuwa promotion kipindi cha mfungo wa Ramadhan na walisema itaisha mwezi wa tisa
Sawa lakini 18000 mbona pesa kubwa sana kuwa na channel kama hiyo, kuna faida gani ya kuwa na clouds plus au sinema zetu .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom